Kwa hili bata la leo Dar ni kweli maisha magumu Tanzania?

Under 30.
Hawana majukumu. Gheto wanakaa wanne.
Nenda kule Keko bondeni.
Wamejenga geto mojamoja. (Maana yangu: kuta nne. Mlamgo na dirisha.
Nyumba imekamilika)
 
Maisha siku zote yako vilevile, tatizo migogoro ndo inachanganya watu. mara hooo ugaidi, Mara kesi feki, kutekana, na mengine mengi ya kipuuzi.
 
Matamasha yenyewe Ni mara moja tu kwa mwaka, kwanini mtu usiiinjoi?!
 

https://www.facebook.com/
 
Ndo uamini kuwa siasa sio kitu kizuri
 
Huo ujumbe unapeleka meseji kule nje... hivyo tutegemee wimbi la vijana kutoka nchi Jirani kufurika na kuingia mijini TZ... very sad hatimae watazagazaga na kuwa wamoja wetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…