GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona wewe mwenye akili uko huru? Kwanini hauko Ukonga na Tundu Lissu? Ukijiona hauko Ukonga ujuwe na wewe juha kama mimi tu
Acheni wekeni silaha zenu chini, maskini kugombanishwa na tajiri ili aendelee kuwanyonya siyo sawa, tuungane tuunganishe nguvu zetu
 
Kinachoniuma yenyewe yanaleta zengwe kila sehemu.yaani nayatmani mashavu ya makala niyachane chane afu analishwa mashavu yake hadi ayameze.kyumamae
 
Kila siku Heche anarudia maneno Yale Yale "tukipewa nchi tutafanya a, b, c... mara wekeni fair environment tupige dakika tisini" CCM siyo wajinga wanatumia Dola kubaki madarakani....Heche, Heche Heche njoo na mkakati hatuutaki kulalamika tumechoka
 
I love your spirit......nachefukwa tunaishia kulalamika tu
Ni kweli, Hawa jamaa wanapooza harakati, yaani Wamasai wamejua kupigania ardhi Yao kwa maandamano na mgomo. Kwanini wasijifunze kule iwe serious case study tuma watu ujue wanafanyaje, alafu waje na mkakati. Lissu atashangaa mpaka anaachiwa hatujawahi kuaandamana kumdai aachiwe, we aren't such weak.
 
Kila siku Heche anarudia maneno Yale Yale "tukipewa nchi tutafanya a, b, c... mara wekeni fair environment tupige dakika tisini" CCM siyo wajinga wanatumia Dola kubaki madarakani....Heche, Heche Heche njoo na mkakati hatuutaki kulalamika tumechoka
Heche anatakiwa awe tit for tat ..kina mnyika wapoooole jamani jamani me ningeruka na polis magereza mmoja waniue tu kwan si wote tutakufa?
Heche unakera mno
john heche
 
Kila siku Heche anarudia maneno Yale Yale "tukipewa nchi tutafanya a, b, c... mara wekeni fair environment tupige dakika tisini" CCM siyo wajinga wanatumia Dola kubaki madarakani....Heche, Heche Heche njoo na mkakati hatuutaki kulalamika tumechoka

Ndiyo maana Lissu wamemshika Kwa sababu wanajua asingekuwa kama hawa na kingeshanuka kweli kweli.
 
Najisikia hasira balaa..ngoja niamke tu..aise chadema mnakera mno..
 
Najiskia hasiraaaa...majitu yameridhka sijui nani ayapiganie nchi yao..mapumbu sana watz😞
hapana nakataa watu hawajawa organized, BAVICHA wanafanya kazi gani ground? Mahinyila atuambie harakati gani za kimya kimya zilizoanzisha kuwasha moto? vipi kuhusu BAWACHA? Vipi Viongozi wa majimbo? nauliza Mmasai walijikusanya tu bila kuwa organized? Viongozi wawe tayari kufanya harakati za moto.
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…