GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unaongea kupitia makalio kijana, lisu hajafanya lolote zaidi ya wajumbe kusema INATOSHA kwa Mbowe...uchaguzi kila mmoja aliona na alihesabu kwa macho yake...HILA ILITOKA WAPI??
Zile kashfa na matusi kama haya unayoyatumia hapa kunitukana dhidi ya Mbowe hikuzisikia?

Wewe mwenyewe hapa unanitukana unaniambia naongea kupitia makalio?? Nyie matusi ni jadi yenu yaani mdiyo lugha mnajuwa
 
Bado sijaelewa nguvu aliyonayo Salim hadi amuamuru DPP na DCI kumkamata Tundu.

Mimi naamini Tundu ameingia mkenge
View attachment 3424796
kwa tabia yake ya roporopo. Yule bwana hana mshipa wa kuchuja cha kuongea. Msikie hapa, halafu niambia ukimuacha wewe utakuwa ni Serikali ya JMT au serikali ya kijiji?;-
Roporopo kuliko mama yako Samiah
 
Zile kashfa na matusi kama haya unayoyatumia hapa kunitukana dhidi ya Mbowe hikuzisikia?

Wewe mwenyewe hapa unanitukana unaniambia naongea kupitia makalio?? Nyie matusi ni jadi yenu yaani mdiyo lugha mnajuwa
Ndiyo ukome
 
Mbowe alitutapeli for 20 years
mbowe.jpg
 
Back
Top Bottom