WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Lissu yuko Ukonga kwa kushtakiwa na Salim Mwalimu na si vinginevyoMbona wewe mwenye akili uko huru? Kwanini hauko Ukonga na Tundu Lissu? Ukijiona hauko Ukonga ujuwe na wewe juha kama mimi tu
sawa uko sahihiKeybord worrior, unatoa ushauri na kwenye mapambano hutokei, huu ni ushauri wa kijinga sana
Simba mkali endelea ku bite kwa keyboard.Bwege endelea kula manono ya ccm.
SAwaMdogo mdogo tutayafikia hayo maisha!
Hongera sana mkuu.Haunijui vizuri mkuu ngoja niishie hapo mimi nilikuwa muoga kama wewe nilibadili mtazamo wangu baada ya kusoma vitabu viwili tu kwenye hvyo vitabu wanasema maendeleo hayaletwi na watu wengi yaani mtu mmoja anaweza akabadilisha mtazamo au mustakabali wa nchi na kuikomboa nchi kama Martin Luther king jr na malcom x vitabu hvyo ni "LONG WALK TO FREEDOM BY NELSON MANDELA "
Na "I'M MALALA ".
Kwa mfano kama Malala historia yake ni ya kusikitisha sana Taliban walimpiga risasi nusu ya kutoa uhai wake lakini ndio alibadilisha mtazamo wa elimu kwa wanawake huko Taliban maana ilikuwa hawaruhusisiwi kwenda shule yaani mimi kwenye haki yangu sizulumiwi mkuu mpaka naamuliwa na watu hapa ofisini ninapofanya kazi wananijua vizuri.
ACHA UJINGA FARASimba mkali endelea ku bite kwa keyboard.
Mtoto wa kiume kuwa muoga jahu kweliHakuna mtu anayependa kuishi hayo maisha ya kuteseka kwa sababu za kisiasq, hayupo.
Wewe ndiye au tumsubiri mwingine ?Mtoto wa kiume kuwa muoga jahu kweli
Wewe upo part ipi kati ya ccm na cdm ?Sahihi kabisa. Chadema waache kulalamika wakisubiri huruma za ccm ambao na wao wanataka kuendelea kutawala na kuwaibia wananchi. Ni maandamano tu nchi nzima ndio suluhisho la ushenzi wote wanaofanyiwa na ccm na serikali yake.
KAma kuita watu fala kunakupa nafuu, ongeza fala nyingine zifke milion ili upone kabisa.ACHA UJINGA FARA
Salim Mwalim anahusikaje hapa?Lissu yuko Ukonga kwa kushtakiwa na Salim Mwalimu na si vinginevyo
Mlimkataa kwa kumzushia uwongo mwingiHuyu mtu Mbowe ilikuwa halali akataliwe. Ni mtu wenu huyo halafu mlitaka aendelee tu kuwa Mwenyekiti wa Chadema?
Walisema wataanzisha uasiUnataka wapigane vita na policcm ndiyo ujue kuwa wana mikakati madhubuti?
😆😆 Mixer Musoma😎Madam wewe ni mkurya🤣
Wewe huna uchungu na nchi yako.kijana wahovyo😎Kabisa😆