frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
Habar jf,
Niwapongeze gsm kwa kufanikiwa kumnyofoa aliyekuwa ceo wa simba hongeleni sana. Lakini pia mmefanikiwa kuzima maswali yote ya uongo wenu kuhusu kuwadanya mashabiki kwamba mmewasajili wachezaji tengemeo wote kama nahoha Papy Shishimbi na Bernard Morrison.
Mmefanikiwa sana kucheza na akili na mashabiki wenu maana tofauti na hapo kwa jinsi wananch walivyo na hasira wagewababa makofi yasiyo na idadi.
Hongeleni na sasa hakuna mwanancg atakayehoji mkataba wa shishimbi wala Morrison.senzo kafunika mambo meng sana hamjuw kwamba huyu niwakawaida sana pale msimbaz, alikuja simba akakuta mafanikio lukuki kama kutinga robo fainaly club bingwa.
Matumaini makubwa kutoka kwa senzo kwa wananch nikwamba ataenda kutoa siri za simba kwa yanga kitu ambacho hata yeye anajua ni hatar kwa maisha yake.
Hongeleni Gsm, karbu senzo kwa Wananchi. Umekuja simba ikiwa bingwa umeiacha ikiwa bingwa