Kwa hili Haji Manara ametudhalilisha sana. Uongozi ukemee huu upuuzi

Kwa hili Haji Manara ametudhalilisha sana. Uongozi ukemee huu upuuzi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kutufananisha sisi Yanga na Wanawake ni akili za kipumbavu. Anaposema Orlando Pirates waje wao wanaume watawakuta huku huku maana yake sisi Yanga ni Wanawake? Huyu niliwaambia bado ana Usimba. Huwa anajifanya kama kuwaponda Simba ilhali anatuponda sisi Yanga.

Uongozi uangalie suala hili. Mwanaume huwezi waita wengine kuwa "Njooni huku nyie wanaume" sisi "wananchi" mtatukuta huku huku. Kwa hiyo Yanga ndo tutakuwa tunasema "Simba msiniumizie”?

Huu ni upumbavu. Huyo mtuwenu mchukueni. Arudishwe Antonio. Jamaaa alikuwa na Yanga wakati wa hard times. Leo anakuja mtu mwingine ambaye kafukuzwa na Mikia kuja kutuchamba.

Siwezi msamehe Haji kwa kutuita sisi gongowazi na kauli yake kuwa wenye akili Yanga ni baba yake tu na Kikwete, wengine madishi yameyumba. Hayo maneno ni ngumu kwangu kuyasahau. Siwezi.

Anaenda mbali zaidi anapowakaribisha Orlando na kuwaita Wanaume. Kwahiyo sisi wanawake?
 
"Yanga mwenye akili ni Baba yangu na Mzee kikwete Tu"

IMG_20220406_175144.jpg
 
Naona kamati ya mapokezi 🐸🐸🐸🐸 mmeshaanza mazoezii msisahau na zile dira kbs za kuwapokelea ao wanaume mnaowasubiria🤣🤣🤣🤣
 
Yule Ngombe wa mayele sasa atakua kaongezeka uzito.

Wachinjieni Orlando Pirates.
 
Back
Top Bottom