Suala la pesa huwezi juaHivi kumpost kumemtibu ugonjwa wake? Mi nilidhani ametoa pesa kusidia matibabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona dai aliutangazia umma kuwa ommy Shoga?Ya kawaida kwa mtu aliyeutangazia umma kulala na mama yako? Nyinyi mnayaweza hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu cha kawaida sana hicho hasa kwa wanaume...
Lakin kwenu wavulana lazima mshangae
Weka mada inayomhusu Ommy kumchukulia Dai poa na kusamehe, halafu unazungumzia Ommy au mama yake Ommy? Ishu hapa ni mama sio hao vichaa wawili.Mbona dai aliutangazia umma kuwa ommy Shoga?
Mbona ommy alipotaka kuweka wazi Picha ya chumbani na Bi Sandra mondi aliingilia kati? Ukiachilia ile aliyomshika Nyonyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichokifanya ommy ni sawa, wewe unasema Mimi Shoga. Sawa muulize mama ako ninaelala nae Kama mm shogaWeka mada inayomhusu Ommy kumchukulia Dai poa na kusamehe, halafu unazungumzia Ommy au mama yake Ommy? Ishu hapa ni mama sio hao vichaa wawili.
Wewe ukigombana na mtu ya mama yanatokea wapi kama sio upuuzi?
Nimeuliza wewe mtu akiutangazia umma kuhusu mama yako utamchukuliaje sijazungumza kusemwa wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka mimi nifanyeje wakati wewe unaamini ni poa mimi siamini kuwa ni poa?Alichokifanya ommy ni sawa, wewe unasema Mimi Shoga. Sawa muulize mama ako ninaelala nae Kama mm shoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unakumbuka alikufa kwa dhiki, enzi zile uko nae ka'rafiki.... machoni kama watu!!!!!Wengi wao wanatabasamu wanaongea kwa nidhamu wanajifanya watu wa karibu kumbe wao ni sumu (AY),hiyo post yake tu hatujui moyoni mwake.
Moyoni hawana utuSi unakumbuka alikufa kwa dhiki, enzi zile uko nae ka'rafiki.... machoni kama watu!!!!!