Kwa hili jambo Diamond ameonesha ukomavu wa hali ya juu, apewe hongera yake

Kwa hili jambo Diamond ameonesha ukomavu wa hali ya juu, apewe hongera yake

Daimond kaonyesha uoga beef ni beef muraaa at nikifaa ntakufuataa ndotoni kuanzishaa vita muraa kuomba msamaha ni kuzihilisha ushoga harisi [emoji32][emoji32][emoji32]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengi mn ajichanganya sana mnavyomuona diamond anaongea na ana cheka
lakini watu kama wale wanakuwaga wabaya sana wanakuvuta ili uje karibu wakuumize
kuna watu wengi sana aina ya platinumz sema watu wengi hawawaelewi wanaona wako peace tu
 
Mbona dai aliutangazia umma kuwa ommy Shoga?

Mbona ommy alipotaka kuweka wazi Picha ya chumbani na Bi Sandra mondi aliingilia kati? Ukiachilia ile aliyomshika Nyonyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka mada inayomhusu Ommy kumchukulia Dai poa na kusamehe, halafu unazungumzia Ommy au mama yake Ommy? Ishu hapa ni mama sio hao vichaa wawili.
Wewe ukigombana na mtu ya mama yanatokea wapi kama sio upuuzi?
Nimeuliza wewe mtu akiutangazia umma kuhusu mama yako utamchukuliaje sijazungumza kusemwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pindi Ommy dimpoz anautangazia umma kwamba anatembea na mama diamond,muda huo huo Diamond alikuwa anautangazia umma kwamba Ommy dimpoz anapumuliwa.Mbona hayo hujayaandika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka mada inayomhusu Ommy kumchukulia Dai poa na kusamehe, halafu unazungumzia Ommy au mama yake Ommy? Ishu hapa ni mama sio hao vichaa wawili.
Wewe ukigombana na mtu ya mama yanatokea wapi kama sio upuuzi?
Nimeuliza wewe mtu akiutangazia umma kuhusu mama yako utamchukuliaje sijazungumza kusemwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alichokifanya ommy ni sawa, wewe unasema Mimi Shoga. Sawa muulize mama ako ninaelala nae Kama mm shoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu alietukaanwa na kudhalilishwa kama Yesu na mtume enzi zao wanafanya kazi walizoagizwa? Yyeye huyo Dimond ndo nani?
 
Back
Top Bottom