Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Huko unyauni mmemfunga binamu yenu.....hahahaha tambo zimeanzaUkweli usemwe Fiston kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia.Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu miwili iliyopita!
Mwamba Jean Baleke, hatari sanaUkweli usemwe Fiston kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia.Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu miwili iliyopita!
View attachment 2757234
Harafu Kila uchwao mashabiki wa Simba wanazidi kuwa mambumbumbu sana aisee [emoji23][emoji28]Rage ajengewe sanamu kabisa
Mayele ana akili sana ameweza kujinunua mwenyewe kwenda Pyramid na kujilipa mshahara mneneUkweli usemwe Fiston kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia.Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu miwili iliyopita!
View attachment 2757234
Vijana wa Rage, huwa mnafurahisha sana.Ukweli usemwe Fiston kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia.Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu miwili iliyopita!
View attachment 2757234
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mayele ana akili sana ameweza kujinunua mwenyewe kwenda Pyramid na kujilipa mshahara mnene
Magoli yao mabaya huwezi ombea hata mkopo..😂Hovyo kabisa, magoli hovyo kabisa,
Harafu ukiyaona magoli aliyofunga kwa mtu timamu huwezi kuja humu ukafungua Uzi wa kijinga kama huuVijana wa Rage, huwa mnafurahisha sana.
Kumfananisha Mayele wa Young Africans, na sasa Pyramids ya Misri! dhidi ya mchezaji anayecheza kwa mkopo kwenye timu inayoendeshwa kienyeji kama simba, ni kumkosea adabu.
Misimu miwili iliyopita Mayele alikuwa yanga sasa Jean Baleke alimshindaje huko kwenye ligi ya kwao
Binamu unayemsema anadhaminiwa na.naniHuko unyauni mmemfunga binamu yenu.....hahahaha tambo zimeanza
BalekeBaleke na mayele walikua ligi moja congo nani alichukua ufungaji bora!?
Hahahaha,yaani walitaka jamaa aache hela abaki bongo kushindana ?Rage ajengewe sanamu kabisa
Sasa unataka wajifiche ?Vijana wa Rage, huwa mnafurahisha sana.
Kwanza kumfananisha Mayele wa Young Africans, na sasa Pyramids ya Misri! dhidi ya mchezaji anayecheza kwa mkopo kwenye timu inayoendeshwa kienyeji kama simba, ni kumkosea adabu.