Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

mayele ni habari nyingine uliza DRC national team , uliza cafcc , uliza egyptian premier league , Tena sasahivi mayele angebaki Kwenye timu ya Gamondi Mpaka sasahivi angekuwa na goli 20!
Duuuh ! Kwani baleke ana goli ngapi msimu huu?
 
Vijana wa Rage, huwa mnafurahisha sana.

Kwanza kumfananisha Mayele wa Young Africans, na sasa Pyramids ya Misri! dhidi ya mchezaji anayecheza kwa mkopo kwenye timu inayoendeshwa kienyeji kama simba, ni kumkosea adabu.

IMG_5227.jpg
 
Simba s.c & Young africans.
watakutana lini msimu huu...?
 
Kwa uchezaji wa beleke hata mimi naweza
Ila mayele dah?
Ni hatari kuanzia nje ya box mpaka ndani ya box
Mayele hakuwa mchezaji wa kusubiri kutengenezewa Mara nyingi alikuwa ana tengeneza mwenyewe
 
Hii taarifa haina faida yoyote ile kwa sasa. Maana Mayele msimu uliopita alikuwa ni mfungani bora kwenye ligi kuu yetu, na pia kwenye Kombe la Shirikisho Afrika!

Aliifikisha timu yake fainali, alikuwa ni MVP, na kwa sasa amesajiliwa Pyramids ya Misri! Kwa sasa anaitwa kwenye timu yake ya Taifa! Na anapewa muda kucheza, na pia a aifungia timu yake magoli.

Huku huyo Jean Baleke akiendelea kucheza kwa mkopo simba, baada ya kuonekana hana mchango wowote ule wa maana kwenye timu yake ya Tp Mazembe! Kupitia maelezo haya, Mayele siyo wa kufananishwa na Baleke hata kidogo.
 
Tofauti ni kwamba jini lako bereke yupo dar kwenye soka la mchongo na fiston mayele yupo nchi ya mpira, mwenye akili amenielewa
 
Back
Top Bottom