Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

Unakutwa na kiungo Saido kwenye race unajiona striker?! Anamjua ndio maana kamkimbia
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ukweli usemwe Fiston Kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia. Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu mitatu iliyopita!

Usilolijua ni kama usiku wa giza. Ukubali usikubali hakuna mfungaji bora, hatari na mahiri kama Konkon wa Yanga. Kwa sasa anaandaliwa kwa mechi za kombe la vilabu Afrika. Muda utaamua atakapoanza kushiriki kikamilifu.
 
Hilo jini lako ile mechi waliyocheza Zambia na PD uliliona lilichokuwa linafanya?
 
Fanya una timu yako unahitaji striker, utamsajili nani kati ya Mayele na Baleke?
 
Baleke vitimu vidogoo anafaa,Timu serious utamuona falaa....Mayele world class player level zakina G.Jesus
Ulikuwa umefunga macho kwenye game waydad au shida kubwa ya watanzania ndio hii yaan mtu yuko tayari kupindisha ili tu auridhishe moyo wake
..
 
Mayele ni habari nyingine uliza DRC national team , uliza cafcc , uliza egyptian premier league , Tena sasahivi mayele angebaki Kwenye timu ya Gamondi Mpaka sasahivi angekuwa na goli 20!
Hahaha huo ndio uzwazwa sasa
 
Mechi na power Dynamo... Baleke ni hovyoo kabisa.... Mechi na tawi la Simba hakuna mfungaji bora NBC zaidi ya baleke😅😅. Rage Rage
Mpira ni kama biashara kuna siku utapata hasara pi kuna siku utapata faida full stop
 
Baleke amefunga goli ngapi DRC national team ukilinganisha na Mayele ?
Na sasahivi ni yupi mwenye dhamani kubwa kati ya mayele na baleke ?
 
Back
Top Bottom