KIGUMU Chama cha MapinduziNi wale tu walioweka akili zao rehani wanaweza kusema namna hii na kwa wepesi wa hoja km huu unaonesha si uhalisia ila chuki za mtu kwa CHADEMA. Heri anayepeleka maoni ya wananchi wake kwa lory aliyokusanya hadharani kuliko wale waliowarubuni watu kwa kwenda na maoni yao kufungia watu kwenye vyumba na kuwambia cha kusema kisha kusuka takwimu za uwongo.
Time is over. If you don't accept changes, changes will change you. Let's wait.
- Tamaa hiyo ya fedha imefanya baadhi ya viongozi wengine wasishirikishwe kwenye mchakato huo. Mathalan, katika mchakato huo, sijaona ZITTO KABWE, SAID ARFI, SHIBUDA na wengineo wakishiriki ipasavyo
My TAKE: Ninachokiona ni kuwa CHADEMA wamegomea mchakato wa katiba BILA YA KUJIONESHA (PASSIVE RESISTANCE). Kwani kitendo cha CHADEMA kutokuwa makini katika kukusanya na kuchambua maoni ya wananchi ikichagizwa na uamuzi wa chama hicho kupeleka maoni hayo kwa njia ya LORI ni wazi kuwa yakiwasilishwa kwenye tume yatapigwa kiberiti na mchango wa CHADEMA hautakuwepo. Ikumbukwe kuwa Jaji WARIOBA alisema kuwa hawatapokea maoni ya CHOPA, je kitendo cha kupeleka kwa njia ya LORI si kitaongeza hasira zaidi kwa WARIOBA? Tusubiri hiyo tarehe 31 AGOSTI 2013 mbivu na mbichi zitajulikana
Mmmh, bora nipite tu kwani uzi wenyewe umeletwa na mtu mmoja na mtu huyo huyo ndiye ameuendeleza peke yake.@LOKISA achana na kilza huyu. mtajitaja kwa avatar nyingi ila mawazo na uelewa wenu utabaki uleule.
RED: Yupo kwenye majukumu ambayo mafisadi walipenda asiyefanye ili waendelee kuchakachua-CDM walishtuka
BLUE: Yuko India kwa upasuaji wa Nyonga
GREEN: Maoni yake yapo kwenye mawasilisho ya CCM
BOLD: Watashirikishwa kwa hatua za mwisho..
Mleta mada, unaweza ukawa umesoma ila si TAALUMA zote....!
Unaposema TAASISI unaelekea kutoelewa maana ya Taasisi hata kidogo!
Mie sijawahi kuona mahali popote hata wakati wa Wagiriki ambako kila mtu anashiriki kwenye suala lilelile kwa asilimia mia!
CHADEMA wanaweza kukusanya maoni kwa watu mbalimbali LAKINI hayo maoni ya watu wakayaunganisha katika maoni ya chama kama TAASISI!
Kitakachopelekwa TUME si maoni ya mtu mmojammoja bali maoni yaCHADEMA mbayo yamegusa mawazo ya watu mbali mbali!
Utaasisi wa taasisi hauji kwa kila mtu kushiriki asilimia mia.
Nenda tena shule
Mkuu, tupe basi tafsiri ya LORI kwa mujibu wa Kamusi ya CHADEMA
CHADEMA hawakuweka baraza la katiba badala yale likaendesha mikutano ya hadhara kurudia kile kile kilichofanywa na tume. hapo ndipo walipojidhihirisha kuwa hawakujua wafanyacho