permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Pesa zipo za kuisuka upya, sajili nyingi za Simba za hivi karibuni hazijaleta matokeo mazuri.simba inapaswa kufumwa upya bila ya uwepo wa hicho kiumbe, tunahitaji damu changa zenye njaa ya mafanikio, hana jipya ameshafika mwisho.
Okay Mkuu.Mimi ni simba damu mkuu, angalia hata post zangu za nyuma, ila kama Simba tunapaswa kufuma timu yetu upya hari ya upambanaji irudi na pia iwe tishio kote barani afrika kama ilivyokuwa zamani. Tukubali zama za hicho kiumbe zimefika mwisho ata Real Madrid walikuwa na Cristiano ronaldo na sasa wapo akina Vini na Rodrygo
Swala la sajiri ni wimbo ambao tumeuzoea, ila kiukweli simba ina wachezaji wazuri sana ila kuna mengi yanaendelea nje ya uwanja ikiwemo migomo baridi baina ya wachezaji na viongozi na waanzilishi wa migomo ndo hao akina chama. Hususani kila inapofikia kipindi cha usajili lazima aje na jipya.Pesa zipo za kuisuka upya, sajili nyingi za Simba za hivi karibuni hazijaleta matokeo mazuri.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mtamchukua Chap ChapSisi wengine yetu macho.
Muda utazungumzaUpo sahihi mkuu, timu inapaswa kufumwa upya hii.
Ngoja tuone...
Ila Utopolo hakuna mikono watanyanyua msimu huu...
Acha tabia ya umbea..leta ushahidiChama hataki tena kubakia simba, alishapata timu tangu mwanzoni mwa msimu hivyo hachezi tena kwa kujituma
Unataka kutuamisnisha timu zote zenye vijana zinachukua makombe au zinamafanikio mazuri?tunahitaji damu changa zenye njaa ya mafanikio, hana jipya ameshafika mwisho.
Kigezo ulichotumia kumhukumu Chama ni kwa sababu wewe ni simba damu au shabikiii maandazi sio?Mimi ni simba damu mkuu, angalia hata post zangu za nyuma,
Mchukueni huko Yanga huku Simba mchango alikwisha toa unatosha.Chama arudishwe timu haichezi vizuri akikosekana.
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
ππππππππNarudia tena kwa msisitizo tusipofanya maamuzi magumu tutegemee maumivu tu maana utopolo makombe watanyanyua hadi mikono iwaume. Na tutarajie maparedi ya kila rangi.
Vyanzo vya ndani kabisa vinaeleza kuwa chama alishapata timu tangu mwanzoni mwa msimu ila alinyimwa release letter na simba.Acha tabia ya umbea..leta ushahidi
Unataka kutuamisnisha timu zote zenye vijana zinachukua makombe au zinamafanikio mazuri?
Kigezo ulichotumia kumhukumu Chama ni kwa sababu wewe ni simba damu au shabikiii maandazi sio?
tukikwambia uthibitishe tuhuma zako huna evidence?
Acha unafiki na roho mbaya wewe ni mwanaume.
Dah, leo unatema madini ya maana sana Kiongozi.Upo sahihi mkuu, Manula huwajibika uwanjani pale anapopaswa kuwajibika tu, anapoona kosa sio lake hawezi kuwajibika ataacha tu goli liingie ili badae watu waseme tu kwamba kipa hana makosa pale, japokuwa angeweza kutumia uwezo wake kufanya jambo aokoe timu kama wafanyavyo diarra na hata kipa mpya wa simba Ayubu.
Huku hatufugi miungu watuSahihi mkuu hata mkimsajili nyie tu
Mechi 2 zimewafanya mumuone Ayub ni Carcilas na Manula ni Kindoki?Upo sahihi mkuu, Manula huwajibika uwanjani pale anapopaswa kuwajibika tu, anapoona kosa sio lake hawezi kuwajibika ataacha tu goli liingie ili badae watu waseme tu kwamba kipa hana makosa pale, japokuwa angeweza kutumia uwezo wake kufanya jambo aokoe timu kama wafanyavyo diarra na hata kipa mpya wa simba Ayubu.
Unakumbuka magoli ya kizembe aliyokuwa akifungwa manula kabla ya hayo majeruhi au unaongea tu ?Mechi 2 zimewafanya mumuone Ayub ni Carcilas na Manula ni Kindoki?
Mnakuwa wasahaulifu wa ghafla hivi kweli? Majeruhi ni suala la Muda na Manula halisi atarejea kwenye ubora wake. Angalieni asije akarejea akiwa siyo mchezaji wa Simba.