Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

Kwa hili la chama simba yatupasa kufanya maamuzi magumu

Mimi ni simba damu mkuu, angalia hata post zangu za nyuma, ila kama Simba tunapaswa kufuma timu yetu upya hari ya upambanaji irudi na pia iwe tishio kote barani afrika kama ilivyokuwa zamani. Tukubali zama za hicho kiumbe zimefika mwisho ata Real Madrid walikuwa na Cristiano ronaldo na sasa wapo akina Vini na Rodrygo
Okay Mkuu.

Mfumo wa kumtegemea Chama ulianzishwa na Uchebe, hasa ile Mechi ya Simba Vs Nkana. Sasa huo mfumo una miaka mingi umezeeka mno
 
Chama mme mchelewesha alitakiwa awe kasha tupiwa mabegi zamani hakuna mchezaji mkubwa kuliko club
 
Pesa zipo za kuisuka upya, sajili nyingi za Simba za hivi karibuni hazijaleta matokeo mazuri.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Swala la sajiri ni wimbo ambao tumeuzoea, ila kiukweli simba ina wachezaji wazuri sana ila kuna mengi yanaendelea nje ya uwanja ikiwemo migomo baridi baina ya wachezaji na viongozi na waanzilishi wa migomo ndo hao akina chama. Hususani kila inapofikia kipindi cha usajili lazima aje na jipya.
 
Chama hataki tena kubakia simba, alishapata timu tangu mwanzoni mwa msimu hivyo hachezi tena kwa kujituma
Acha tabia ya umbea..leta ushahidi

tunahitaji damu changa zenye njaa ya mafanikio, hana jipya ameshafika mwisho.
Unataka kutuamisnisha timu zote zenye vijana zinachukua makombe au zinamafanikio mazuri?
Mimi ni simba damu mkuu, angalia hata post zangu za nyuma,
Kigezo ulichotumia kumhukumu Chama ni kwa sababu wewe ni simba damu au shabikiii maandazi sio?
tukikwambia uthibitishe tuhuma zako huna evidence?

Acha unafiki na roho mbaya wewe ni mwanaume.
 
Narudia tena kwa msisitizo tusipofanya maamuzi magumu tutegemee maumivu tu maana utopolo makombe watanyanyua hadi mikono iwaume. Na tutarajie maparedi ya kila rangi.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Acha tabia ya umbea..leta ushahidi

Unataka kutuamisnisha timu zote zenye vijana zinachukua makombe au zinamafanikio mazuri?

Kigezo ulichotumia kumhukumu Chama ni kwa sababu wewe ni simba damu au shabikiii maandazi sio?
tukikwambia uthibitishe tuhuma zako huna evidence?

Acha unafiki na roho mbaya wewe ni mwanaume.
Vyanzo vya ndani kabisa vinaeleza kuwa chama alishapata timu tangu mwanzoni mwa msimu ila alinyimwa release letter na simba.

Kwa umri wa chama na uwezo wake tulihitaji replacement yake mapema iwezekanavyo kitu ambacho tulishindwa kufanya na kuendelea kumtegemea yeye, hivyo ni wakati sahihi wa kupata damu changa na kuisuka timu upya.

Ukiona imekuuma sana anzisha timu yako umsajili.
 
Upo sahihi mkuu, Manula huwajibika uwanjani pale anapopaswa kuwajibika tu, anapoona kosa sio lake hawezi kuwajibika ataacha tu goli liingie ili badae watu waseme tu kwamba kipa hana makosa pale, japokuwa angeweza kutumia uwezo wake kufanya jambo aokoe timu kama wafanyavyo diarra na hata kipa mpya wa simba Ayubu.
Dah, leo unatema madini ya maana sana Kiongozi.
 
Dah, leo unatema madini ya maana sana Kiongozi.
Angalia mechi za hivi karibuni amekuwa akifungwa magoli ya kizembe sana, anzia mechi na yanga kurudi nyuma akiwepo yeye langoni kabla ya kuumia
 
Upo sahihi mkuu, Manula huwajibika uwanjani pale anapopaswa kuwajibika tu, anapoona kosa sio lake hawezi kuwajibika ataacha tu goli liingie ili badae watu waseme tu kwamba kipa hana makosa pale, japokuwa angeweza kutumia uwezo wake kufanya jambo aokoe timu kama wafanyavyo diarra na hata kipa mpya wa simba Ayubu.
Mechi 2 zimewafanya mumuone Ayub ni Carcilas na Manula ni Kindoki?
Mnakuwa wasahaulifu wa ghafla hivi kweli? Majeruhi ni suala la Muda na Manula halisi atarejea kwenye ubora wake. Angalieni asije akarejea akiwa siyo mchezaji wa Simba.
 
Tuna ushahidi wa Chama kuhusika na kushawishi migomo? Isije ikawa ni maneno ya kwenye kahawa na tukaanzisha majungu juu ya wachezaji bila tija, kama hatumtaki tumwambie sio kumchafua bila ushahidi.
 
Mechi 2 zimewafanya mumuone Ayub ni Carcilas na Manula ni Kindoki?
Mnakuwa wasahaulifu wa ghafla hivi kweli? Majeruhi ni suala la Muda na Manula halisi atarejea kwenye ubora wake. Angalieni asije akarejea akiwa siyo mchezaji wa Simba.
Unakumbuka magoli ya kizembe aliyokuwa akifungwa manula kabla ya hayo majeruhi au unaongea tu ?
 
Back
Top Bottom