Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Viongozi wa Simba wanaendelea kufanya makosa yale yale Kila mara na awabadiliki!
Kibu Denis kwa kitendo alichokifanya alistahili adhabu ya maana na asingeruhusiwa kujiunga na wenzake kwenye mazoezi, angetumikia kwanza adhabu yake ili liwe fundisho kwa wengine, lakini Cha ajabu kibu anaonekana Yuko juu ya timu anaweza kufanya chochote anachojisikia bila kuguswa!
Ni meseji Gani inatumwa kwa wachezaji wa kigeni na waliokuwepo?
Alichokifanya kibu kitafanywa na wengine kwakuwa wataendelea Kuona ni jambo la kawaida na awatoguswa!
Simba umesajili wachezaji 29 kwa Nini wawe wanyonge juu ya mchezaji mmoja?
Pale yanga walishaset standard yao juu ya masuala ya nidhamu kwa wachezaji uwa awacheki na kima ata uwe na ubora kiasi Gani watakufurusha, Rejea rekodi za wakina bangala, juma Shaban, lomalisa, wakiwa kwenye ubora wao waliachwa!
Bangala alitoa kauli ya kipuuzi wakati bado ana mkataba na klabu kuwa Kuna 80 ya kuondoka msimu Jana na 20 ya kubaki baada ya hapo yanga aikutaka mambo mengi wakamnyoa!
Juma shabani alikuwa anachochea migomo kwa wenzake na alikuwa anapush ili asajiliwe na Simba kilichomkuta alikosa vyote na sasa Yuko namungo baada ya kusota bila timu!
Lomalisa alikuwa kwenye genge moja na wakina juma shabani lakini badae alishtuka akawaambia atoongeza mkataba lakini Cha ajabu alipoona yanga awajamfatilia Wala kumzingatia akaibuka kuomba mkataba mpya wakamwambia asepe tu Awana mipango nae!
Hao ni wachezaji baadhi tu ambao walionja joto ya jiwe pale yanga, yanga awabembelezagi wachezaji ukileta fyoko fyoko ukajiona Bora watakuondosha tu!
Na nafikiri ndio maana timu inafanikiwa msingi mkubwa ukiwa ni nidhamu!
Sasa Simba mmeonyesha kuchutama mbele ya kibu Denis kwakuwa mnamtegenea sana mchezaji aliyefunga goli moja kwa msimu mzima!