Haya....Kweli wadogo zetu wakenya wanajua sisi wakubwa zao ni tegemeo lao na wanakuwa bega kwa bega na sisi katika kipindi hiki cha majonzi.
Sawa, lakini nasikitika asante zako wewe hatutazipokea. Kwaheri.Asanteni sana ndugu zetu.
Kwa kweli pamoja na utofauti wa hapa na pale. Ndugu zetu wa kenya wamekuwa pamoja na sisi katika msiba wa taifa uliotupata.
Nimemuona waziri wa elimu toka kenya kafika kwenye msiba. Kweli nia jambo zuri sana katika kuimarisha ushirikiano.
Kweli wadogo zetu wakenya wanajua sisi wakubwa zao ni tegemeo lao na wanakuwa bega kwa bega na sisi katika kipindi hiki cha majonzi.
Asanteni sana wadogo zetu wakenya. Mungu awatie nguvu katika uchaguzi.
Kwasababu zipi hasa;!Sawa, lakini nasikitika asante zako wewe hatutazipokea. Kwaheri.
Rafiki zake wa karibu baba jesca naona wamepga kimya, sijasikia ya M7 wala yule mtusi, nahisi urafk wao ni wa kinafki,
Wakenya tumetoka nao mbal sana asee, yan ni kama mke na mume ambao wanagombana kila siku bt hawawez kuachana coz washazoeana
Big up kwenu
Nawarudishieni ahsante/salamu zenu -qoute Jomo Kenyatta akihutubia taifa.Sawa, lakini nasikitika asante zako wewe hatutazipokea. Kwaheri.
Unajua unenichekesha japo we are mourningRafiki zake wa karibu baba jesca naona wamepga kimya, sijasikia ya M7 wala yule mtusi, nahisi urafk wao ni wa kinafki,
Wakenya tumetoka nao mbal sana asee, yan ni kama mke na mume ambao wanagombana kila siku bt hawawez kuachana coz washazoeana
Big up kwenu
Sawa. Kuwa na siku mwema.Tayari uhuru amezipokea kwa niamba yako.
mimi nawaombea uchaguzi mwema lakini uhuru kenyatta kazi anayo safari hii na akianzisha vita tu ajue ameegemea mlango wa the hegueSawa, lakini nasikitika asante zako wewe hatutazipokea. Kwaheri.
Na inafahamika kabisa kunajinsia huwa anapenda kuongea sana, huku wakihitaji protection. Zaidi sana tunawapenda sana wakenya maana hata maandiko yanasema tuwapende upande wa pili.siku zote wakenya wamekua wakitegemea mambo mengi kutoka tanzania kwanzia chakula,ulinzi na mambo mengi
alafu watanzania hatuna chuki na yeyote hata ukiangalia m23 walipokua wanasumbua congo tulienda kuondoa kero hio, vita vya burundi tumetuliza, malawi tumetuliza na kenya tutatuliza🙂Na inafahamika kabisa kunajinsia huwa anapenda kuongea sana, huku wakihitaji protection. Zaidi sana tunawapenda sana wakenya maana hata maandiko yanasema tuwapende upande wa pili.
Ni Uhuru Kenyatta mkuu. Anyway, we accept only the genuine expressions of gratitude, sio hizi za kinafiq.Nawarudishieni ahsante/salamu zenu -qoute Jomo Kenyatta akihutubia taifa.