Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
- Thread starter
- #41
Ndugu hebu ondoa ukabila hapa. Sisi Tanzania hatuendekezi mambo kama hayo. Peleka kwenu huko Kenya sisi kutaja ukabila kwetu ni mwiko. Tena iheshimu Tanzania.Kumbuka hata tetemeko walikuja na maandamano ya magari ya jeshi.sijui wahutu na watusi kwa nini wamepiga kimya
Halafu kukupa pole siyo lazima. Ondoa ukabila wenu hapa TZ.