Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia nn....mwaka wa uhuru au?Kwahiyo wakenya sio wadogo zetu?
Mzee Jomo was fond of saying nawarudishieni salamu zenu. Naona Uhuru amerithi kwa baba.Ni Uhuru Kenyatta mkuu. Anyway, we accept only the genuine expressions of gratitude, sio hizi za kinafiq.
wewe tushakujua unachuki za siasa 😀😀😀😀😀😀😀😀 mwanachadema huyu pole sana sio mahali pake hapaUnatumia nn....mwaka wa uhuru au?
Uko ironic sana ati wadogo we2..izo asante zako jiekee punda hiKwa kweli pamoja na utofauti wa hapa na pale. Ndugu zetu wa kenya wamekuwa pamoja na sisi katika msiba wa taifa uliotupata.
Nimemuona waziri wa elimu toka kenya kafika kwenye msiba. Kweli nia jambo zuri sana katika kuimarisha ushirikiano.
Kweli wadogo zetu wakenya wanajua sisi wakubwa zao ni tegemeo lao na wanakuwa bega kwa bega na sisi katika kipindi hiki cha majonzi.
Asanteni sana wadogo zetu wakenya. Mungu awatie nguvu katika uchaguzi.
Mkuu ushaona wapi huyo mtutsi na M17 wana urafiki wa kweli? Kama sio wa maslahiRafiki zake wa karibu baba jesca naona wamepga kimya, sijasikia ya M7 wala yule mtusi, nahisi urafk wao ni wa kinafki,
Wakenya tumetoka nao mbal sana asee, yan ni kama mke na mume ambao wanagombana kila siku bt hawawez kuachana coz washazoeana
Big up kwenu
Kwani wewe ulitumwa na uhuru kenyata au wewe ni nani hasa kwenye serikali.ya kenyata hadi umwambie mtu hampokei asante yakeSawa, lakini nasikitika asante zako wewe hatutazipokea. Kwaheri.
Kwa kweli pamoja na utofauti wa hapa na pale. Ndugu zetu wa kenya wamekuwa pamoja na sisi katika msiba wa taifa uliotupata.
Nimemuona waziri wa elimu toka kenya kafika kwenye msiba. Kweli nia jambo zuri sana katika kuimarisha ushirikiano.
Kweli wadogo zetu wakenya wanajua sisi wakubwa zao ni tegemeo lao na wanakuwa bega kwa bega na sisi katika kipindi hiki cha majonzi.
Asanteni sana wadogo zetu wakenya. Mungu awatie nguvu katika uchaguzi.
Kwamala ya kwanza nakuona ukiwashukuru wapinzani wakoPia yupo Balozi kutoka Kenya
kiukweli kwa hili Nawapa hongera sana
Naanza kuwaombea Wamalize uchaguzi wao kwa Amani
Mke ni KenyaHapo kwenye mke na mme ndio utata
ichoboy01 Nani mke hapa
Kipindi cha West gate hamkuwapa poleWaafrika ni wamoja kenya jirani zetu na watani wetu Mungu awaepushe na husda za alshabaab katika kipindi hichi muhimu cha uchaguzi
Acha urongo dunia nzima iliwapa pole tushindwe sisi pua na mdomoKipindi cha West gate hamkuwapa pole