Emc2 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 16,808 Reaction score 16,887 May 8, 2017 Thread starter #41 Escrowseal1 said: Kumbuka hata tetemeko walikuja na maandamano ya magari ya jeshi.sijui wahutu na watusi kwa nini wamepiga kimya Click to expand... Ndugu hebu ondoa ukabila hapa. Sisi Tanzania hatuendekezi mambo kama hayo. Peleka kwenu huko Kenya sisi kutaja ukabila kwetu ni mwiko. Tena iheshimu Tanzania. Halafu kukupa pole siyo lazima. Ondoa ukabila wenu hapa TZ.
Escrowseal1 said: Kumbuka hata tetemeko walikuja na maandamano ya magari ya jeshi.sijui wahutu na watusi kwa nini wamepiga kimya Click to expand... Ndugu hebu ondoa ukabila hapa. Sisi Tanzania hatuendekezi mambo kama hayo. Peleka kwenu huko Kenya sisi kutaja ukabila kwetu ni mwiko. Tena iheshimu Tanzania. Halafu kukupa pole siyo lazima. Ondoa ukabila wenu hapa TZ.
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,055 May 8, 2017 #42 Kweli wadogo zetu wakenya wanajua sisi wakubwa zao ni tegemeo lao na wanakuwa bega kwa bega na sisi katika kipindi hiki cha majonzi. Asanteni sana wadogo zetu wakenya. Mungu awatie nguvu katika uchaguzi.[/QUOTE] MKUU ACHA UCHOKOZI
Kweli wadogo zetu wakenya wanajua sisi wakubwa zao ni tegemeo lao na wanakuwa bega kwa bega na sisi katika kipindi hiki cha majonzi. Asanteni sana wadogo zetu wakenya. Mungu awatie nguvu katika uchaguzi.[/QUOTE] MKUU ACHA UCHOKOZI
Edward Wanjala JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 8,122 Reaction score 6,429 May 9, 2017 #43 Pongezi ya nini bana, ama ni jambo la kushangaza? Wakenya tuko hivyo, usione tunagombezana hapa ukadhani tutafurahia mkipatwa na msiba.
Pongezi ya nini bana, ama ni jambo la kushangaza? Wakenya tuko hivyo, usione tunagombezana hapa ukadhani tutafurahia mkipatwa na msiba.
Yamungu Athumani JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 1,384 Reaction score 3,254 May 9, 2017 #44 pumzihaiuzwi said: Acha urongo dunia nzima iliwapa pole tushindwe sisi pua na mdomo Click to expand... Sikuona kwa Tanzania
pumzihaiuzwi said: Acha urongo dunia nzima iliwapa pole tushindwe sisi pua na mdomo Click to expand... Sikuona kwa Tanzania