Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Jamani si tumekubaliana kuwa simba ni team ya ukoo!Hivi Karia ndiyo alimtuma huyo Babra aje na watu ambao sio maafisa wa club na kulazimisha waingie kwenye jukwaa maalum?
Umewahi kuingia bar! Usibeze kazi za watu. Kila kazi au shughuli ina sheria, kanuni na taratibu zake.Tumia ubongo kuwaza ww kolo, umekuja na hao watoto inabidi wakatiwe tickets za VVIP za ww unakoenda kukaa ndio uweze kuingia nao na sio kutumia special tickets za maofisa wa bodi na kamati tendaji kwa wale watt
Hatuwezi kufanya kama tupo Bar bila kufuata utaratibu
Acha upuuzi wewe utopolo,wale watoto wamekuja baada ya walioalikwa kushindwa kuja na idadi yao ndio iliyochukuliwa na watotoHawa makolo waache Uzezeta kwa wahindi wao, sasa kila ofisa wa bodi na kamati tendaji akija na watoto watatu akae nao jukwaa la VVIP, Je pata tosha kweli?
Tumieni akili kufikiria nyie
Aya sawaUmewahi kuingia bar! Usibeze kazi za watu. Kila kazi au shughuli ina sheria, kanuni na taratibu zake.
Watunzi wa kanuni(kama ipo) kusimamia eneo la vvip wameboronga. Huwezi mtenganisha mtoto na msimamizi wake.Hivi hicho kichwa umepewa kufugia nywele au kubeba meno.
Kwa nini mnajipendekeza kwa wahindi wakati wao wanawaona kama mbwa tu?
View attachment 2041064
Hivi unajua maana ya utaratibu uliowekwa, kwani wale watoto wa kihindi ni maofisa wa bodi au kamati tendaji mpk watumie special tickets kuingia VVIPAcha upuuzi wewe utopolo,wale watoto wamekuja baada ya walioalikwa kushindwa kuja na idadi yao ndio iliyochukuliwa na watoto
Baada ya walioalikwa kushindwa kuja babra alimtaarifu nani? Alitoa taarifa bodi ya ligi? Na sidhani Kama walikosekana viongozi wengine wa simba walikosekana wa kuwapa izo kadi hii ni tabia ya uyu dada kuwa mbinafsi anataka kuonekana yeye tu kila tukio ni ujinga, umeshaambiwa watoto awaruhusiwi hilo eneo yeye anataka kulazimisha kana kwamba aelewi utaratibu waliokubaliana na bodi ya ligi, anabeba familia yake badala ya kuwapa viongozi wenzake wengine izo kadi aliona atakuwa amewafaidisha Sana, uyu mama ni mpuuzi sanaAcha upuuzi wewe utopolo,wale watoto wamekuja baada ya walioalikwa kushindwa kuja na idadi yao ndio iliyochukuliwa na watoto
Watazitapika tu hizo hela za mchongo za uyo bwana wao gsm ila tutawabana mwanzo mwishoHivi unajua maana ya utaratibu uliowekwa, kwani wale watoto wa kihindi ni maofisa wa bodi au kamati tendaji mpk watumie special tickets kuingia VVIP
Kila sehemu kuna utaratibu wake na maofisa wa Simba na Yanga wanajua kabisa utaratibu uliopo jukwaa la VVIP ila upande wa simba mmechagua kufanya vurugu
Uzezeta wenu wa kihindi msiulete huku kwenye soka letu ila liacheni huko huko kwenye timu yenu ya ukoo nyie makolo bwenzi
Cha kujiuliza kwanza , ni hiyo sheria ipo?kabla ya kuanza kutoa povu, kwani tatizo la nchi hii, yaani mahaba ya kitu yanawafanya watu waache kuona uhalisia!!kama sheria ipo ya kuwwzuia watoto wasikae kwenye jukwaa hilo ni sawa, kwani walioiweka wanafahamu ni kwanini wwliamua hivyo!!ila haipo walikosea.ila mimi ninacho kiona licha ya hayo yote yanayotokea ina bidi awe makini sana!kuna siku atajichanganya tu kidogo atapigwa ban hiyo !!kwani mpira wa nchi hii ni gitina tupu.WEKA UGOKO NASHUSHA NONDO!!!Kwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?
Wasije uwanjani?
Wasiingie kutazama mpira?
Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?
Wamezingua sana.
Sasa mkuu kila mtu akija na mtoto wake pale eneo la VVIP si itakua kama changanyikeni.Hivi kuna sababu gani za kuandika kuwa watoto hawaruhusiwi eneo lile inamana pale huwa wanafanya na ngono au halafu unamzuia mtu wa timu mwenyeji unamuingiza mtu mwingine ambaye hana hata kadi ya mwaliko
Kumbe shida ni GSM hahahahaWatazitapika tu hizo hela za mchongo za uyo bwana wao gsm ila tutawabana mwanzo mwisho
CEO a Simba hakuzuiliwa. Ni watoto alioongozana nao ndo walizuiliwa. Akazira
CEO a Simba hakuzuiliwa. Ni watoto alioongozana nao ndo walizuiliwa. Akazira
Hili la watotoCEO a Simba hakuzuiliwa. Ni watoto alioongozana nao ndo walizuiliwa. Akazira