Kwa hili la kuzuiwa Barbara, Karia jiuzulu haraka

Kwa hili la kuzuiwa Barbara, Karia jiuzulu haraka

Kwan huyo dada hiyo kadi hajaisoma au kaisoma kafanya makusudi ili kuwatoa watu mchezoni, yaan kadi imeandikwa kabisa watoto hawaruhusiwi we unaenda na watoto ili iweje, afu mashabiki wa Simba wanavyoendeshwa kwa mihemko utaskia wanatetea, mnatetea nini sasa wakat kila kitu kipo wazi. Acheni kutetea ujinga bhana
 
Shida ya wanawake wakifanya jambo dhidi ya wanaume wakifanikiwa wanajiona mashujaa kama wakishindwa wanaona wameonewa na wamenyanyaswa kijinsia wanaanza kutafuta huruma kwa watu🤣🤣🤣. Hivi viumbe bhn
 
N
Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously?

Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila mtu anajua ni wa kimagumashi.

TAKUKURU waanze uchunguzi haraka sana maana hapa kuna jambo.

KARIA OUT NA TUMBO LAKE
Nchi hii ina maujinga mengi eti zilikia kadi za watu walio alikwa yaani mwenyeji awe amealikwa..? Haki tunaongozwa na wajinga saana.
 
Wewe bwana tulia. Acha kutudanganya mkuu. Tifua tifua na bodi ya ligi ni 🚮🚮. Na ajabu ili ujue walipanga kumstopisha tu km kumkomoa angalia jambo la kujibiwa na bodi limejibiwa na tifua tifua. Karia ni hewa yule kule bodi jina nimemsahau ni mpumbavu
Kwan huyo dada hiyo kadi hajaisoma au kaisoma kafanya makusudi ili kuwatoa watu mchezoni, yaan kadi imeandikwa kabisa watoto hawaruhusiwi we unaenda na watoto ili iweje, afu mashabiki wa Simba wanavyoendeshwa kwa mihemko utaskia wanatetea, mnatetea nini sasa wakat kila kitu kipo wazi. Acheni kutetea ujinga bhana
 
Wewe bwana tulia. Acha kutudanganya mkuu. Tifua tifua na bodi ya ligi ni 🚮🚮. Na ajabu ili ujue walipanga kumstopisha tu km kumkomoa angalia jambo la kujibiwa na bodi limejibiwa na tifua tifua. Karia ni hewa yule kule bodi jina nimemsahau ni mpumbavu
Aya sawa

Wajinga kama nyie ambao hamjui kutoa hoja ni wa kupuuzwa kabisa
 
Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously?

Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila mtu anajua ni wa kimagumashi.

TAKUKURU waanze uchunguzi haraka sana maana hapa kuna jambo.

KARIA OUT NA TUMBO LAKE
Hivi huyo Barbara ni Mtanzania?! Au Yuko sawa na Senzo? Haoni namna mwenzake Senzo asivyojiingiza kwenye Mambo ya siasa za soka za TZ?
 
Hivi kuna sababu gani za kuandika kuwa watoto hawaruhusiwi eneo lile inamana pale huwa wanafanya na ngono au halafu unamzuia mtu wa timu mwenyeji unamuingiza mtu mwingine ambaye hana hata kadi ya mwaliko

Hayo mambo ya favor kafanyeni Bunju...

Ule ni uwanja wa Taifa na sio Simba au Yanga...
 
Hoja ni nini mkuu..?
Tickets za VVIP zinasema kabisa watoto hawaruhusiwi

CEO wenu analazimisha kuingia nao, maana yake nini?

Halafu mnakuja kutetea ujinga huku ww unaanza kufanya personal attack ya matusi ya viongozi wa shirikisho

Mbona maofisa wengine wa bodi na kamati tendaji hawakuja na watoto wao?

Yeye ni nani mpk avunje utaratibu uliowekwa?
 
Kwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?

Wasije uwanjani?

Wasiingie kutazama mpira?

Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?

Wamezingua sana.
Watoto walizuiliwa kwa sababu za kiitifaki, zile kadi walizokuwa nazo ni za watu wenye mwaliko maalumu yaani unaweza kuzamia kwenye harusi kwa kadi ya mtu lakini usikubaliwe kwenda kukaa high table kwaiyo alichokifanya huyo CEO ni kujiaibisha mwenyewe kwa kutaka kufosi kwenda na watoto wake VVIP kwa kutumia kadi za watu wengine, hapo imetumika kanuni tu kumtoa kama yeye alivyotumia kanuni kukataa udhamini wa GSM😃😃 hapo ndio raha ya uswahili
 
Huyu Bidada anapenda mashauzi Sana na kujifsnya anajua Sana kumbe hajui Kama hajui. Hipo siku ataingia kwenye 18 na atajuta.
 
Huyu Bidada anapenda mashauzi Sana na kujifsnya anajua Sana kumbe hajui Kama hajui. Hipo siku ataingia kwenye 18 na atajuta.
Utamfanyaje..?.na kajishaua kwa lipi..? Aisha mashauzi😂😂😂
 
Tickets za VVIP zinasema kabisa watoto hawaruhusiwi

CEO wenu analazimisha kuingia nao, maana yake nini?

Halafu mnakuja kutetea ujinga huku ww unaanza kufanya personal attack ya matusi ya viongozi wa shirikisho

Mbona maofisa wengine wa bodi na kamati tendaji hawakuja na watoto wao?

Yeye ni nani mpk avunje utaratibu uliowekwa?
Sasa wale watoto angewaacha waende wenyewe kule changanyikeni..? Watoto hawana haki ya kukaa sehemu nzuri..?
 
Sasa wale watoto angewaacha waende wenyewe kule changanyikeni..? Watoto hawana haki ya kukaa sehemu nzuri..?
Njoo na msaidizi wako, wakatie tickets za VIP A na watakaa hapo bila shida kabisa na uzuri jukwaa la VVIP na VIP A yapo karibu kabisa

Utaratibu umewekwa basi ufuatwe na sio kuweka uharakati kwenye kila jambo ambalo kama jamii ya michezo na maofisa wa bodi na kamati tendaji mliambiwa mapema na tickets zinaeleza hivyo kwamba eneo lile watoto hawaruhusiwi

Kwanini ujifanye much know muda wote na harakati ambazo hazina maana kwenye soka letu
 
Kwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?

Wasije uwanjani?

Wasiingie kutazama mpira?

Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?

Wamezingua sana.
Kutokujua sheria hakukufanyi uvunje sheria.

Babara she waz wrong.

Alikosea na ticket ziliandikwa kuwa watoto hawaruhusiwi. Aache kutafuta huruma ya wananchi kwa kitu ambacho alikitengeneza mwenyewe.
 
Madhara ya kupeana vyeo kitandani hayo.
Yani kinajua ila ni kujishebedua tu nacho kionekane kipo na kinatetemesha na hivi kuna maboya wanakiamini basi ndo ivo kinatafuta huruma tu.

Kimesoma kabisa kua watoto hawaruhusiwi ila kwakua walikua hawana uhakika wa kushinda basi wakaona waanzishe drama ili ikitokea wamepigwa waamshe hilo sekeseke la kijinga. Uyo dem anazingua sana aisee.
Wameona la GSM limeisha kaanzisha hili tena.
Hizi zote ni mind games tu hutakuja kuskia kingine baada ya hii mechi.
 
Back
Top Bottom