Kwa hili la kuzuiwa Barbara, Karia jiuzulu haraka

Kwa hili la kuzuiwa Barbara, Karia jiuzulu haraka

Cha kujiuliza kwanza , ni hiyo sheria ipo?kabla ya kuanza kutoa povu, kwani tatizo la nchi hii, yaani mahaba ya kitu yanawafanya watu waache kuona uhalisia!!kama sheria ipo ya kuwwzuia watoto wasikae kwenye jukwaa hilo ni sawa, kwani walioiweka wanafahamu ni kwanini wwliamua hivyo!!ila haipo walikosea.ila mimi ninacho kiona licha ya hayo yote yanayotokea ina bidi awe makini sana!kuna siku atajichanganya tu kidogo atapigwa ban hiyo !!kwani mpira wa nchi hii ni gitina tupu.WEKA UGOKO NASHUSHA NONDO!!!
Kama kanuni inazuia watoto kuingia uwanjani sawa, lakini kama inawazuia tu kukaa eneo la vvip, ina dosari. Kuna siku ataingia mkuu zaidi ana kijukuu mtaumbuka.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sasa huyo Demu wenu utamfananisha mkuu wa nchi

Ebu Pelekeni Uzezeta wenu kwa wahindi na hiyo timu yenu ya ukoo
 
Sasa mkuu kila mtu akija na mtoto wake pale eneo la VVIP si itakua kama changanyikeni.

Ile ni sehemu special kwa watu maalumu ndio maana kuna kadi kabisa.

Em assume kua Babra aje na watoto wake,Mo aje na watoto wake,Murtaza nae aje na watoto wake.
Nasikia alizidondisha kadi chini, naamini kadi za watoto alikuwa nazo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hawa makolo waache Uzezeta kwa wahindi wao, sasa kila ofisa wa bodi na kamati tendaji akija na watoto watatu akae nao jukwaa la VVIP, Je pata tosha kweli?

Tumieni akili kufikiria nyie
Uto huwa mnakurupuka kisha mmnakuja kuumbuka. Ni kawaida yenu. Hata ishu ya udhamini gsm mlishadadia sana ila Simba wakawaumbua baada ya mabango kutolewa uwanjani.... Barbara kawachezesha ngoma na mnacheza kwa biti lake
 
Njoo na msaidizi wako, wakatie tickets za VIP A na watakaa hapo bila shida kabisa na uzuri jukwaa la VVIP na VIP A yapo karibu kabisa

Utaratibu umewekwa basi ufuatwe na sio kuweka uharakati kwenye kila jambo ambalo kama jamii ya michezo na maofisa wa bodi na kamati tendaji mliambiwa mapema na tickets zinaeleza hivyo kwamba eneo lile watoto hawaruhusiwi

Kwanini ujifanye much know muda wote na harakati ambazo hazina maana kwenye soka letu
Sidhani kwamba Barbara alikua hajui hayo yametungwa tu baada ya kuona kawakalisha sheenzi. Hiyo inaitwa imetungwa sababu yakumzuia tu asiingie
 
Ikiwa wana tickets zao kwanini wakatazwe..? Watu wanatickets zao sio wavamizi una wazui ila.?
Njoo na msaidizi wako, wakatie tickets za VIP A na watakaa hapo bila shida kabisa na uzuri jukwaa la VVIP na VIP A yapo karibu kabisa

Utaratibu umewekwa basi ufuatwe na sio kuweka uharakati kwenye kila jambo ambalo kama jamii ya michezo na maofisa wa bodi na kamati tendaji mliambiwa mapema na tickets zinaeleza hivyo kwamba eneo lile watoto hawaruhusiwi

Kwanini ujifanye much know muda wote na harakati ambazo hazina maana kwenye soka letu
 
Sasa huyo Demu wenu utamfananisha mkuu wa nchi

Ebu Pelekeni Uzezeta wenu kwa wahindi na hiyo timu yenu ya ukoo
Unakazania kusema wahindi kwani GSM ni wa bantu..? Nyani.haoni.kundule kwa kweli
 
Uto huwa mnakurupuka kisha mmnakuja kuumbuka. Ni kawaida yenu. Hata ishu ya udhamini gsm mlishadadia sana ila Simba wakawaumbua baada ya mabango kutolewa uwanjani.... Barbara kawachezesha ngoma na mnacheza kwa biti lake
Aya sawa
 
Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously?

Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila mtu anajua ni wa kimagumashi.

TAKUKURU waanze uchunguzi haraka sana maana hapa kuna jambo.

KARIA OUT NA TUMBO LAKE
Kadi inasema watoto hawaruhusiwi halafu unakuja nao, unaeleweshwa unatukana unatupa kadi! Huyu TFF wasimwache, hana nidhamu.
 
Kama kanuni inazuia watoto kuingia uwanjani sawa, lakini kama inawazuia tu kukaa eneo la vvip, ina dosari. Kuna siku ataingia mkuu zaidi ana kijukuu mtaumbuka.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndio maana nimesema kama kanuni hiyo ipo sawa, hatuna haja ya kuilaumu tff, lakini kama haipo hilo ni zengwe, na hata kama ipo ataenda kiongozi watamruhusu ukiwauliza ohoo , ni busara tu imetumika!!nchi nzito hii
 
Hivi kuna sababu gani za kuandika kuwa watoto hawaruhusiwi eneo lile inamana pale huwa wanafanya na ngono au halafu unamzuia mtu wa timu mwenyeji unamuingiza mtu mwingine ambaye hana hata kadi ya mwaliko
Tafuta kwanza maana ya VVIP ukipata utakuwa umejijibu hilo swali. Em nikupe hint kidogo, Rais wa nchi naye anakaaga hapo hapo VVIP. Kwa hiyo unaweza pata picha kwanini watoto huwa hawaruhusiwi VVIP.
 
Tumia ubongo kuwaza ww kolo, umekuja na hao watoto inabidi wakatiwe tickets za VVIP za ww unakoenda kukaa ndio uweze kuingia nao na sio kutumia special tickets za maofisa wa bodi na kamati tendaji kwa wale watt

Hatuwezi kufanya kama tupo Bar bila kufuata utaratibu
Walikuwa na ticket za kupewa na watu ambao waliahirisha kuja, ni sawa na upewe ticket ya mtu mwingine, nawe uitumie kusafiria, kama ticket ni genuine, why wazuiwe?
 
Walikuwa na ticket za kupewa na watu ambao waliahirisha kuja, ni sawa na upewe ticket ya mtu mwingine, nawe uitumie kusafiria, kama ticket ni genuine, why wazuiwe?
Taratibu za VVIP zinasema hauruhusiwi kutumia tickets yenye jina la mtu mwingine, pia na watoto hawaruhusiwi kwenye jukwaa hilo
 
Back
Top Bottom