Kama kanuni inazuia watoto kuingia uwanjani sawa, lakini kama inawazuia tu kukaa eneo la vvip, ina dosari. Kuna siku ataingia mkuu zaidi ana kijukuu mtaumbuka.Cha kujiuliza kwanza , ni hiyo sheria ipo?kabla ya kuanza kutoa povu, kwani tatizo la nchi hii, yaani mahaba ya kitu yanawafanya watu waache kuona uhalisia!!kama sheria ipo ya kuwwzuia watoto wasikae kwenye jukwaa hilo ni sawa, kwani walioiweka wanafahamu ni kwanini wwliamua hivyo!!ila haipo walikosea.ila mimi ninacho kiona licha ya hayo yote yanayotokea ina bidi awe makini sana!kuna siku atajichanganya tu kidogo atapigwa ban hiyo !!kwani mpira wa nchi hii ni gitina tupu.WEKA UGOKO NASHUSHA NONDO!!!
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app