Kwa hili la Mbunge kwenda Dubai bila kujua dhumuni la safari, Spika anatakiwa kujiuzulu!

Nimemsikiliza Aida Kenani anasema wamepelekwa Dubai January 28, 2023 wakiambiwa wanakwenda kujifunza wenzetu wanavyofanya kazi bandarini ili na wao waje waishauri serikali. Wanarudi ndo wanagundua kuna makataba na DPW ulisainiwa mwaka mmoja uliopita.
Anauliza Kipi kilitakiwa kutangulia Mkataba au ziara ya Wabunge ili wawe na contents za kuishauri serikali?
Nimemuelewa Sana huyu mama pale aliposema ziara hiyo ilikuwa danganya toto maana mjadala ulipoanza Ofisi ya Spika ikaachia majina ya waliokwenda Dubai tena Kipande tu cha karatasi yenye jina lake Kwanza ili kuonyesha Wananchi kwamba hata Wapinzani walikwenda na wanaunga mkono.
Hii hatari
 
Kama analolisema huyu Mbunge ni kweli basi Spika wa Bunge jiuzulu tafadhali.

Soma >> Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

Mbunge anasema alisafiri mpaka Dubai hajui anaenda kufanyaje? Kweli Kodi zetu mnazitumia kuwalipa au kulipana pasipo tija kiasi hiki?

Yaani Mbunge anasema alienda Dubai lakini hakuambiwa anaenda kufanyaje mpaka anarudi? Analipwa na Bunge anashangaa kuona analipwa kwa fedha za Dubai? Mbunge anasema alilipwa na TPA, kwa mantiki hiyo tunataka tujue TPA ilipataje fedha za kulipia wabunge?

Hivi wajua kwanini Mwendazake alizuia safari za nje ya nchi? Sasa hapo ndio maana yake jueni

Eeee Mwenyezi Mungu mrehemu Rais wa wanyonge - Ta Magufuli!
We mwongo, amesema wakienda Dubai kujifunza uendeshaji wa kisasa wa bandari, ila la kuuza bandari hawakulijua.
 
KUUZA nchi yetu hatutaki kabisa..Kwanza Mmetukosea sana hivi hata hawa watu mnawatoa wapi??? Yaani mtu mnatoa sijui wapi hana ushawishi wowote hajafanya la maana kwenye jamii tukaona anakuja kuwa Kiongozi ndio hayo sasa mnapelekwa huko hamjui..
 
Nimemsikiliza Aida Kenani anasema wamepelekwa Dubai January 28, 2023 wakiambiwa wanakwenda kujifunza wenzetu wanavyofanya kazi bandarini ili na wao waje waishauri serikali. Wanarudi ndo wanagundua kuna makataba na DPW ulisainiwa mwaka mmoja uliopita.
Anauliza Kipi kilitakiwa kutangulia Mkataba au ziara ya Wabunge ili wawe na contents za kuishauri serikali?
Nimemuelewa Sana huyu mama pale aliposema ziara hiyo ilikuwa danganya toto maana mjadala ulipoanza Ofisi ya Spika ikaachia majina ya waliokwenda Dubai tena Kipande tu cha karatasi yenye jina lake Kwanza ili kuonyesha Wananchi kwamba hata Wapinzani walikwenda na wanaunga mkono.
sifi leo weka hii content hapo juu inaelezea vizuri habari yako kuliko ulivyoielezea wewe
 
Mbona sio mara ya kwanza..tushazoea.
Kama ni kweli TPA ndio umelipia safari hiyo basi ni kweli RUSHWA imetupofusha.

Na kama ni kweli Mteja wetu Mtarajiwa DPW naye aliwalipa posho watunga sheria wetu, basi kwa mara ya kwanza tumetumbukizwa shimoni
 
Nimemsikiliza Aida Kenani anasema wamepelekwa Dubai January 28, 2023 wakiambiwa wanakwenda kujifunza wenzetu wanavyofanya kazi bandarini ili na wao waje waishauri serikali. Wanarudi ndo wanagundua kuna makataba na DPW ulisainiwa mwaka mmoja uliopita.
Anauliza Kipi kilitakiwa kutangulia Mkataba au ziara ya Wabunge ili wawe na contents za kuishauri serikali?
Nimemuelewa Sana huyu mama pale aliposema ziara hiyo ilikuwa danganya toto maana mjadala ulipoanza Ofisi ya Spika ikaachia majina ya waliokwenda Dubai tena Kipande tu cha karatasi yenye jina lake Kwanza ili kuonyesha Wananchi kwamba hata Wapinzani walikwenda na wanaunga mkono.
Sawa kabisa ni danganya toto hiyo na kweli kuna watu wamelipwa fedha nyingi kupitisha mkataba laghai kuwahi kutokea.
 
Nimemsikiliza Aida Kenani anasema wamepelekwa Dubai January 28, 2023 wakiambiwa wanakwenda kujifunza wenzetu wanavyofanya kazi bandarini ili na wao waje waishauri serikali. Wanarudi ndo wanagundua kuna makataba na DPW ulisainiwa mwaka mmoja uliopita.
Anauliza Kipi kilitakiwa kutangulia Mkataba au ziara ya Wabunge ili wawe na contents za kuishauri serikali?
Nimemuelewa Sana huyu mama pale aliposema ziara hiyo ilikuwa danganya toto maana mjadala ulipoanza Ofisi ya Spika ikaachia majina ya waliokwenda Dubai tena Kipande tu cha karatasi yenye jina lake Kwanza ili kuonyesha Wananchi kwamba hata Wapinzani walikwenda na wanaunga mkono.
Alipewa ngapi??
 
Bado kustaafu kutokana na umri sio kipaumbele cha CCM!
Mkuu sasa mbona anawahimiza wenzake wastaafu kwa sababu umri umeenda wa zaidi ya miaka 60 maana wanapoteza kumbukumbu; maana hata yeye sasa anapoteza kumbukumbu, hakumbuki KATIBA inasemaje juu ya Wizara za MUNGANO; hakumbuki kwamba wafanyakazi wa Serikali hapaswi kuwa wanachama wa Vyama vya Siasa n.k
 
Kwa hiyo huyo mbunge yeye akiambiwa kuna safari basi anakimbilia posho tu. Anakwenda safari km mzigo hajui ht afanyalo masikini!
Sasa huyo ana uchungu na pesa zetu kweli!
Wabongo wengi wako hivyo. Haswa Watumishi wa umma
 
Kama analolisema huyu Mbunge ni kweli basi Spika wa Bunge jiuzulu tafadhali.

Soma >> Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

Mbunge anasema alisafiri mpaka Dubai hajui anaenda kufanyaje? Kweli Kodi zetu mnazitumia kuwalipa au kulipana pasipo tija kiasi hiki?

Yaani Mbunge anasema alienda Dubai lakini hakuambiwa anaenda kufanyaje mpaka anarudi? Analipwa na Bunge anashangaa kuona analipwa kwa fedha za Dubai? Mbunge anasema alilipwa na TPA, kwa mantiki hiyo tunataka tujue TPA ilipataje fedha za kulipia wabunge?

Hivi wajua kwanini Mwendazake alizuia safari za nje ya nchi? Sasa hapo ndio maana yake jueni

Eeee Mwenyezi Mungu mrehemu Rais wa wanyonge - Ta Magufuli!
Hahahaha
 
Jamani mi naomba tu kujua hivi hawa waarabu watakua wanalipa sh. Ngapi kwa mwezi na sisi tulikua tunaingiza sh. Ngapi ili tujue tu kama inalipa kama mm nipo nipo tu shule sina hata sielewi
 
Back
Top Bottom