Kwa hiyo ukimnyonga ndo utakuwa umekomesha vifo vya Albino?Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mgeshimiwa raisi wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe. Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme (elecrtic chair) au sindano ya sumu ( lethal injection) iwe ndiyo humane punishment. Vinginevyo walistahili kupewa adhabu tunayompa mbuzi ambaye hana hata kosa!
Najua. Ndiyo maana nimesema "humane punishment". Angalau kwa huruma tu maana sisi wote ni wakosefu basi wamalizwe kwa njia hiyo.Kifo mbona ni adhabu nyepesi!
Waende huko gerezani wawe wanapewa adhabu kali majuto na hatia itafune mioyo yao.
wakatolik washafanya mipango ya kumtoa mtu wao. wanaweka teja badala yakeSiku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe.
Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme (elecrtic chair) au sindano ya sumu ( lethal injection) iwe ndiyo humane punishment. Vinginevyo walistahili kupewa adhabu tunayompa mbuzi ambaye hana hata kosa!
Wazo zuri tena inatakiwa wanyongwe hadharaniSiku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe.
Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme (elecrtic chair) au sindano ya sumu ( lethal injection) iwe ndiyo humane punishment. Vinginevyo walistahili kupewa adhabu tunayompa mbuzi ambaye hana hata kosa!
Umenena vema na mawazo yako na mapendekezo yazifikie mamlaka husika. Naelews adhabu ya kifo ilikuwepo maelfu ya miaka tena kali zaidi kama ya kusulibiwa msalabani unatundikwa masaa ya kutosha mpaka ufe kwa kukosa pumzi lakini adhabu hii haiondoi uhalifu. Lakini topic yangu inahusu hawa wa Kagera tu kwa leo. Mengine baadae.Kwa hiyo ukimnyonga ndo utakuwa umekomesha vifo vya Albino?
Ningetegemea utoe mapendekezo namna ya kuimarisha ulinzi na huduma kwa hawa ndugu zetu (ofcourse na adhabu kali ni muhimu). Kunyonga muharifu haijawahi kuwa suluhisho la uharifu.
Mimi nadhani adhabu ya kunyongwa ingewekewa mafisadi na wala rushwa ambao matendo yao yanaua maelfu kwa maelfu ya raia kwa kukosa huduma muhimu.
Usipende kuingiza udini kwenye mambo ya msingiwakatolik washafanya mipango ya kumtoa mtu wao. wanaweka teja badala yake
teja automatikali ushahidi utamtema kwamba hajielewi
mkuu kwani mimi ndo nilimtaja parokoUsipende kuingiza udini kwenye mambo ya msingi
Sawa kabisa. Nakazia HADHARANI. Kama mamlaka zinaona hiyo ni ngumu base kwenye execution facility waweke live camera. Tumechoka na huu ukatili.Wazo zuri tena inatakiwa wanyongwe hadharani
Hakuna Rais amewahi weka Saini ya kunyongwa japo watu wanafanya mauaji ya kutisha.Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe.
Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme (elecrtic chair) au sindano ya sumu ( lethal injection) iwe ndiyo humane punishment. Vinginevyo walistahili kupewa adhabu tunayompa mbuzi ambaye hana hata kosa!
tena akatajwa kufadhili mpango mzima,na kumshawishi baba mtoto na pia kutafuta mgangaUsipende kuingiza udini kwenye mambo ya msingi
nzetu kama marekani wananyonga gerezani lakini kuna ruhusa ya kwenda kushuhudia.Wazo zuri tena inatakiwa wanyongwe hadharani
Kwa maana watu wanaona kawaida tu, (business as usual)Sawa kabisa. Nakazia HADHARANI. Kama mamlaka zinaona hiyo ni ngumu base kwenye execution facility waweke live camera. Tumechoka na huu ukatili.
Sijakuelewa unaposema hakuna raisi aliyetia saini mtu kunyongwa. Ina maana hata aliyemuua Dkt. Kleruu raisi hakutia saini??Hakuna Rais amewahi weka Saini ya kunyongwa japo watu wanafanya mauaji ya kutisha.
Mbaya zaidi Mahakama ya Afrika Mashariki imeipa Serikali ultimatum ya kufuta adhabu ya kifo kufuatia wapuuzi kadhaa kushitaki.
Kuna mtu kanyonga mtoto kisa hafanani nae eti anahisi sio mwanae,Sasa Kwa Hali hii unategemea nini?
Rais wa mwisho ni mwalimu,waliofuatia wote wamekwepaS
Sijakuelewa unaposema hakuna raisi aliyetia saini mtu kunyongwa. Ina maana hata aliyemuua Dkt. Kleruu raisi hakutia saini??
Njia inayotumika kutekeleza adhabu ni ngumu mtu kutia saini. Watumie njia mbadala.Rais wa mwisho ni mwalimu,waliofuatia wote wamekwepa