Kwa hili la mtoto albino Kagera, mheshimiwa Rais weka saini adhabu ya kifo

Kwa hili la mtoto albino Kagera, mheshimiwa Rais weka saini adhabu ya kifo

Napigilia misumari.

Wakizikwa wasizikwe kikawaida, miili yao ipewe mamba waitafune
 
Pia siafiki kifungo cha maisha. Kwangu mimi hiyo ni adhabu ya juu zaidi. Huwa sielewi adhabu ya kifo inapoitwa capital punishment wakati ni adhabu ya maximum labda dakika 15.
 
Na kwa huruma tu wapate double drug. Moja ya usingizi na moja ya kusimamisha moyo. Kwa wenzetu huko kama kosa lako ni serious kama mauaji ya halaiki unapata single drug ufe kwa maumivu.
 
Kifo si adhabu sahihi ya mtu katili maana kila mtu anakufa na kuna ambao wanajitanguliza wenyewe.

Kuna adhabu ambazo katili mwingine akizishuhudia hafikirii hata kufanya jambo linalotaka kufanana na anayepata adhabu.
 
K

Kama ipi? Suala ni kwamba we are a bit humane hata mhalifu anapaswa kuonewa huruma to some extent. Kwa hiyo adhabu ya juu ni kumuua but it has to be done humanely!
 
Back
Top Bottom