Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

Upo sawa kabisa mtoa mada,
Ila Iwe fundisho kwa waliobaki,
Waache jeuri za uhai.
Yaan unaua sbb ya madaraka!!!?
Unanyang'a mali za watu na kuwapatia akina makonda etal!!
...
Acha tu basi...
 
Kanisa LA ROMA haliwezi kuadhimisha kifo cha jahili asiyetambulika.

Ila linatoa huduma ya maadhimisho nduguze wakiomba lifanye hvo.
Jahil ni Wewe cheti feki mkwepa kodi ulieminywa na magufuli mpaka akili ikakuruka.
 
NImeona hapa mza nikafikiri ni usukumA
 
Bila Shaka mtoa mada Ni mlokole!

Kanisa katoliki Ni jumuia ya wakosefu na misa Ni kwa ajili ya kusifu, kuabudu na kuomba Neema ya utakaso wa roho zao
Misa si kwa ajili ya watu wema, Bali wakosefu wanaoikiri kanuni ya Imani ya kikatoliki
Magufuli angekuwa mtakatifu ningeungana na wewe kulilaumu kanisa kuadhimisha misa takatifu kwa ajili ya Magufuli

Tofautisha na ulokole wako, ambao ibada yenu Ni kusanyiko la watakatifu ili kumsifu na kumuabudu Mungu, na kumuomba Neema za heri ya kuinuliwa maisha yenu
 
Matendo ya huyu mtu hayakuwa ya kibinadamu kabisa, tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa zawadi aliyotupa.
Kupiga vita rushwa na ufisadi, kuondoa vyeti feki, wahujumu uchumi, kwenu nyinyi mnaona siyo matendo ya kibinadamu. Halafu lazima ujue kifo siyo zawadi bali ni ahadi ya binadamu kwa mola wake. Pumzi uliyonayo ndo zawadi ambayo inaweza kukatika wakati wowote.
 
Wewe naye kiazi kwelikweli.

Uwe unaheshimu imani za watu.

Sasa una tofauti gani na huyo muovu unayemtuhumu?
Sang'udi wewe ni tabula rasa. Magufuli imani ya ukatoliki aliitumia kujijenga lakini hakuufuata ukatoliki kadri ya miongozo ya kanisa.

Kwa mfano, kuongea mambo ya Serikali ndani ya kanisa. Au kuua wakosoaji wake halafu kwenda kwenye madhabahu na kusema niombeeni!! Tukuombee nini wewe muuaji?
 
Alimuua nani mkuu?
 
Mkuu umesoma vizuri ulichokiandika,,, Marehemu hachukiwi mkuu,,,kwasababu hana uwezo wa kuja kukujibu...

Anyway,,Kila mtu ni mbaya katika stori ya mtu mwingine
Hatuwezi kuacha kusema Maovu ya marehemu eti kwa vile hawezi kuja kujibu. Tunayasema ili ule UFEDHULI na uhayawani wake usirudie kwenye nchi yetu.
 
Yule alikuwa shetani mwenye maumbile ya binadamu ...keshatupwa jehanamu ya moto kwa maovu yake😡
 
Hatuwezi kuacha kusema Maovu ya marehemu eti kwa vile hawezi kuja kujibu. Tunayasema ili ule UFEDHULI na uhayawani wake usirudie kwenye nchi yetu.

Ni haki yako kikatiba pia Mkuu,,, so upo sahihi sana.
 
Haya maoni yako yapeleke huko kwenu KKKT ambako mnaendekeza visasi na maaskofu kupigania mali kila uchao.

Ndio maana hata pale mnapoleta siasa kwenye mambo nyeti kitaifa waroma huwa wanawaacha kushoto.

Sisi wakristo tunaamini katika kusameheana na kufanya maombi ya toba huku tukielewa Dunia ni Mapito.
 
Wewe ni miongoni mwa watu waliokuwa na chuki binafsi na JPM ama kwa kuathiriwa moja kwa moja kutoka na uovu wako au jamaa yako uliyemtegemea kwa kipato ndio maana unatoa tuhuma zisizo na uthibitisho wote wote.

Mauaji yanayofanyika kwa sasa ndio mengi zaidi ila ninyi waovu mmejipa onyo wenyewe kutoripoti kokote ili kulinda aina ya serikali iliyopo ambayo inakupa mwanya kufanya mambo yako binafsi ya kiharifu bila kushughulikiwa
 
Sijui unaweweseka wapi.Kwa taarifa yako Magufuli aliwakamata watanzania katika miyo yao.Kuanzia watu wa kawaida mpaka watu wa kila status.Sasa wewe unayeteseka kwa habari zako za kutunga ,bado haujamfikia marehemu hata robo.Yaan ,marehemu ni bahari na ww ni tone la mvua.Watu kufa ,mbona mpaka Sasa wanakufa na kupotea?Kwa hiyo Samia ndio anawaua?Acha siasa za maji taka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…