Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

Pia hata Mimi nilishangaa kanisa katoliki kutaka kumpa utakatifu Mwalimu. Wakati alitumia uchawi wa dagoo.
Dagoo ni aina ya uchawi wa kimamlaka wa kutumia fimbo, mkia wa mnyama, ngozi za wanyama, kofia za wanyama.Lengo kuu Ili kuwa nguvu ya kutawala bila kupingwa au kusikilizwa KILA atendalo,hizi nguvu upewa na shetani.
Mfano mobutu,bokasa,nguvu yake ilikuwa kwenye mnyama chui.
Moi,iddi Amin walikuwa na fimbo za kichawi.
Zile fimbo walipoinua juu au kuweka juu ya meza mikutanoni watu wote kimya.
Odinga, kenyatta uchawi wao ulikuwa kwenye mkia wa mnyama so akipunga juu na kusema harambee! mapepo yanatoka utoka kuzimu na kuuvaa mkutano wote kuwafanya watu wamsikilize wamtii yeye tu Hakuna kupinga. Watawala wengi wa kiafrica walitumia uchawi kwa kubeba fimbo ndimo zilikuwepo nguvu zao. Na waliua watu Ili kumpa shetani damu. Shetani afanyi Kazi ya hasara anakupa pesa, madaraka lakini lazima umtolee damu.
Hittler uchawi wake ulikuwa kwenye mkono wake akiinua juu alikuwa akibadilika sura mapepo utoka kuzimu na uvamia mkutano wote na kumuona Hakuna kama yeye.
So mchakato wa kanisa kumuita mtakatifu unatia shaka ya kiimani, pili alibariki ibada za mwenge,ambao ni pure satanism, mwenge ni moto wa kuzimu kwa nia ya kuwaloga watu waweze kutawaliwa, kufungua miradi ni geresha tu.
 
Magunia alikuwa kichaa
 
Ni wewe tu hujui, ndiyo maana unauliza peke yako. Uthibitisho subiri Mahakamani tutaleta siku ikifika
Kama hamwezi kuthibitisha msubiri mpaka mtakapokuwa tayari, kuku nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…