Kwa hili la red sea nchi zote za afrika tunatakiwa kuungana na UK, USA, kuichakaza Yemen. Afrika ndio muathirika mkuu wa ufedhuli huu!

Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika na kutoka afrika kwenda ulaya! Hawa Yemen walichokusudia ni kuisababishia hasara kubwa afrika hasa kwa wafanyabiashara wanaoagiza bidhaa zao nje ya nchi ,bidhaa nyingi sana zitapanda Bei na uchumi wa nchi zetu unaweza kutetereka ,na hofu kubwa kwa wafanyabiashara kupoteza shehena zao pamoja na wamiliki wa meli zenyewe ! Afrika ni wakati sasa kuungana na uk,usa,kuichakaza Yemen ..kwa sababu Yemen imepakana na baadhi ya nchi za kiafrika ,majeshi yetu yaingie kupitia milango hiyo ndani ya dakika 30 ,Yemen haitakuwepo katika ramani ya dunia ,over!
Udini utakutoa roho. Kwanini usiungane kwenda kuwakomboa wakiristo wenzio Ukrain
 
Naunga mkono hoja
 
Meli zinazozuiwa ni za israel tu acha waendelee kuzuia
 
Na siyo africa hata nchi nyingi za ulaya zimegoma kushiriki maana ni interest za israel na marekani acha wapambane wenyewe hatuwezi kujiingiza kwenye udhalimu kipumbavu namna hiyo kisa taifa teule
 
Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika na kutoka afrika kwenda ulaya! Hawa Yemen walichokusudia ni kuisababishia hasara kubwa afrika hasa kwa wafanyabiashara wanaoagiza bidhaa zao nje ya nchi ,bidhaa nyingi sana zitapanda Bei na uchumi wa nchi zetu unaweza kutetereka ,na hofu kubwa kwa wafanyabiashara kupoteza shehena zao pamoja na wamiliki wa meli zenyewe ! Afrika ni wakati sasa kuungana na uk,usa,kuichakaza Yemen ..kwa sababu Yemen imepakana na baadhi ya nchi za kiafrika ,majeshi yetu yaingie kupitia milango hiyo ndani ya dakika 30 ,Yemen haitakuwepo katika ramani ya dunia ,over!
Naungana nawe kimantiki lakini kiuhalisia natofautiana nawe. Yawezekana hujui shida iliyo nayo Yemen. Yemen ni kama Lebanon, serikali zipo paralysed kutokana na ugaidi wa Iran.

Nchi zote za Kiarabu ambazo haziongozwi kwa Sharia Law, na kuna significant number ya waislam wa dhehebu la Shia, Iran imepandikiza makundi ya kigaidi ili kuziangusha serikali za mataifa hayo au kuzifanya Serikali za mataifa hayo ziwe dhaifu, zisiwezi kufanya maamuzi yoyote ambayo makundi hayo ya kigaidi hayataki.

Magaidi wa Hezbollah waliopo kule Lebanon, wala siyo jeshi la nchi ya Lebanon. Magaidi wa Houth huko Yemen wala siyo jeshi la Yemen, magaidi wa Hamas wala siyo jeshi Serikali ya Palestina. Magaidi wa IRGC-QF kule Iraq, wala siyo jeshi la Iraq. Msimamo wa Iran ni kuwa nchi zote au majimbo yote yenye waislam wengi kwenye nchi zote Duniani ni lazima yaongozwe kwa sharia law, hivyo inaanzisha makundi ya kigaidi ya kuyapa mafunzo, fedha na silaha. Na nchi ikiwa na uchumi mdogo, inakuwa ni kazi ngumu sana kuyadhibiti makundi hayo yenye ufadhili wa Iran. Hiyo ndiyo sababu kubwa ya Iran kutokuwa na uhusiano mzuri na Serikali nyingi za baadhi ya nchi za kiarabu kama vile Saudia, Jordan na UAE.

Makundi haya yote ya kigaidi niliyoyataja ni mikono ya Taifa gaidi la Iran. Bila Iran, makundi haya ya kigaidi, hayapo.
 
Shule zimeshafunguliwa wewe bado unashinda JF.
Achana na mambo ya shule, yumkini wewe utakuwa mwanafunzi.

Jibu au changia hoja yake kwa hoja, usiweke vioja. Kama huna hoja, nyamaza kaa kimya, soma michango ya wenye uelewa wa mada iliyopo. Siyo lazima kuchangia kila mada.
 
Africa hatutegemei bidhaa za ulaya,
Sisi tegemeo letu Ni Asia, hasa china na Japan, ambao hawana shobo na red Sea.
Duh! Wewe ndiyo huelewi kabisa. Aheri ungesema kuwa Afrika inategemea ZAIDI bidhaa toka Asia, lakini ni uwongo mkubwa kudai kuwa eti hakuna bidhaa tunazotegemea toka Ulaya.

Bidhaa zote zenye ubora wa hali ya juu, hutoka nchi za Ulaya, America na Japan. Na kuna watu na taasisi sensitive hazitumii bidhaa za ubora hafifu toka China, hasa kwenye maeneo fulani ambayo vi very sensitive.

Hata ndege zetu, hakuna hata moja iliyotengenezwa Asia. Hata baadhi ya madawa ya hospitalini, yanatoka Ulaya.
 
Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika na kutoka afrika kwenda ulaya! Hawa Yemen walichokusudia ni kuisababishia hasara kubwa afrika hasa kwa wafanyabiashara wanaoagiza bidhaa zao nje ya nchi ,bidhaa nyingi sana zitapanda Bei na uchumi wa nchi zetu unaweza kutetereka ,na hofu kubwa kwa wafanyabiashara kupoteza shehena zao pamoja na wamiliki wa meli zenyewe ! Afrika ni wakati sasa kuungana na uk,usa,kuichakaza Yemen ..kwa sababu Yemen imepakana na baadhi ya nchi za kiafrika ,majeshi yetu yaingie kupitia milango hiyo ndani ya dakika 30 ,Yemen haitakuwepo katika ramani ya dunia ,over!
Wewe hujuwi kufikiri vizuri.

Meli zote wanazozuwia Yemn inabidi zipite Afrika na inabidi zituwe bandari za Afrika kujipatia mahitaji yao.

Hiyo ni neema kwa Afrika.

Inabidi Waafrika tuunge mkono Yemen kwa sababu nyingi tu.
1) Wayemen wametunguwa vichwa, kuwa wanyonge tussiubali kuonewa kwa uoga wa ujinga tu.

2) Buadhara ya bbandari za Afrika itakuwa.

3)vijana wengi wanaopenda ubaharia watajipatia kazi.

Hii ni fursa tuitumie vyema na tuombee hiyo njia ifungwe kabisa.
 
Binafsi nawapongeza Marekani na Israeli Kwa kupambana na ugaidi.
Bila wao dunia isingekua mahali salama
Dunia hii bila ya nchi kama Marekani, sijui ingekuwaje. Maana kuna nchi na baadhi ya watu wana itikadi za kishetani.

Iran inaamini kuwa Wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani. Na juzi kiongozi wao mkuu wa kidini amerudia hiyo kauli na kusema kuwa kuna siku Dunia itakuwa bila ya uwepo wa Wayahudi.

Wapo watu wanaoamini kuwa kama wewe siyo muislam hutakiwi kuishi wala kuwepo Duniani. Wanaenda kulipua makanisa na kuwaua watu wasio na hatia eti kwa vile tu siyo waislam.

Wapo watu wanaoamini kuwa inatakiwa nchi zote ziongozwe kwa sharia law.

Wapo watu wanaoamini kama wewe huna rangi nyeupe, basi wewe siyo mwanadamu, kama kule Saudia, unaitwa mtwana, na kwamba wewe upo kwaajili ya kuwatumikia watu wenye ngozi nyeupe.

Kwa ujumla tunatakiwa kuiombea US iendelee kuwadhibiti majitu yenye misimamo ya kishetani.
 
Halafu ukute una mke na watoto, kichwani umejaza kinyesi tu
 
Unavyosema afrika ndio mwathirika mkuu wa fujo za Houth pale Yemen una maana Afrika ipi boss...au unazungumzia somalia, kenya ,Tanzania na msumbiji Kidogo labda na malawi?(nchi kama 5-10) kati ya nchi 54 za Africa?

Maana asilimia kubwa ya sea route za meli kutoka ulaya hupitia route ya atlantic..ambayo coastline yake ndio inayo cover nchi nyingi zaidi. Na hazija athirika kwa namna yoyote na mgogoro usio wahusu.

Hata kwa nchi za east africa, bado hazijapata athari yoyote kwa vile Houth hawa attack meli zisizo na uhusiano na Israel.

Pia utuambie, bidhaa zetu tunazipata toka wapi? Maana kwa kiwango kikubwa nchi yetu ina trade na Asian countries hasa China, India, indonesia thailand, na UAE etc. ..ambayo route za meli toka nchi hizo zote hazipiti Red sea.

Please justify kwanini tuingilie ugomvi usio tuhusu.
Myahudi wa kwa mtogole huyo
 
Bidhaa lazima itapanda Bei maana gharama ya usafirishaji itapanda na bima ya usafirishaji nayo itapanda athari itakuwa kubwa kwenye uchumi wa nchi zinazotegemea bidhaa zao kupita Suez canal
Kwenye taifa la wajinga flani bei zitapanda sababu kisingizio kimepatikana sio kana kwamba meli hazileti bidhaa.
 
Achana na mambo ya shule, yumkini wewe utakuwa mwanafunzi.

Jibu au changia hoja yake kwa hoja, usiweke vioja. Kama huna hoja, nyamaza kaa kimya, soma michango ya wenye uelewa wa mada iliyopo. Siyo lazima kuchangia kila mada.
Acja utoto kima wewe, uma comment kama vile mtu haruhusiwa kuchangia bila ya ruhusa yako. Usijipe umuhimu mbele ya wanaume.
kwa kukusaidia tu, nimetumia kauli ya kurudi shule sababu mchango wake inaonekana hata haelewi kinachoendelea au jouth wanachokilenga.
Sasa wewe unsyetaka ufafanuliwe kila kitu kalagha baho.
 
EU kama bara bado wanapambana na inflation kwenye chumi zao, halafu wewe tena unaenda kuwaongezea matatizo, lilikuwa ni swala la muda kabla awajapeleka kichapo Yemen.
.
Lengo hasa ni Hilo,wanaosakwa hasa ni EU.

Nikirejea Syria,Afrika magharibi naanza pata jibu,hapo Red sea hapawezekani Tena.
 
Dunia hii bila ya nchi kama Marekani, sijui ingekuwaje. Maana kuna nchi na baadhi ya watu wana itikadi za kishetani.

Iran inaamini kuwa Wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani. Na juzi kiongozi wao mkuu wa kidini amerudia hiyo kauli na kusema kuwa kuna siku Dunia itakuwa bila ya uwepo wa Wayahudi.

Wapo watu wanaoamini kuwa kama wewe siyo muislam hutakiwi kuishi wala kuwepo Duniani. Wanaenda kulipua makanisa na kuwaua watu wasio na hatia eti kwa vile tu siyo waislam.

Wapo watu wanaoamini kuwa inatakiwa nchi zote ziongozwe kwa sharia law.

Wapo watu wanaoamini kama wewe huna rangi nyeupe, basi wewe siyo mwanadamu, kama kule Saudia, unaitwa mtwana, na kwamba wewe upo kwaajili ya kuwatumikia watu wenye ngozi nyeupe.

Kwa ujumla tunatakiwa kuiombea US iendelee kuwadhibiti majitu yenye misimamo ya kishetani.

Middle East baada ya Israel nchi inayofuata kwa population kubwa Jews ni Iran. Na huko hawajawai shambuliwa hata siku moja na kuna wakristo pia Iran hawajawahi shambuliwa.

Persian Jews ni Iranians.

Usichanganye siasa za M.E na dini.
 
Binafsi nawapongeza Marekani na Israeli Kwa kupambana na ugaidi.
Bila wao dunia isingekua mahali salama
Sasa Marekani si ndio gaidi la dunia?

Hivi ugaidi unaofanyika Ukraine ni kwa ajili ya interest za nani njama sio Mmarekani??

Bila Marekani yote yangetokea??

Huyo Marekani kila siku anasapoti vurugu kwenye nchi za watu maana anajua zikifanyika kwake watu watakufa ovyo.

Nyinyi mapoyoyo ndio mnakuja kuwasifia
 
Back
Top Bottom