Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo
Walidiriki kwenda mbali wakimtaka aachie kabisa nafasi ya urais pale yanga
Na wao kama mashabiki wako tiari kukaa hata miaka 100 bila kombe lakin hawako tiari kufungamana na CCM
CCM mjitafakari dunia inawachukia , inchi imewakataa wananchi hawawataki jeshi limewashikilia
LONDON BOY