Kwa hili LATRA mmechemka

Kwa hili LATRA mmechemka

LATRA wako sahihi kabisa! mleta hoja kaa chini ujitafakari tena! Ila aonekana wewe ni mmiliki wa kupata faida ya tumbo lako na vito vyako bila kujali haki na maisha ya abiria wako!
Utetee hoja, sio kutuhumu!,,
 
Jana Happy Nation imefika kule Mwanza Saa tatu na Nusu Muda ambao hata Allys na Katarama walikua wakifika muda huohuo
 
Jana Happy Nation imefika kule Mwanza Saa tatu na Nusu Muda ambao hata Allys na Katarama walikua wakifika muda huohuo
 
Back
Top Bottom