Kwa hili limetokea Leo, Tuungane na Bella Kombo kuimba " Mbona kama naota"๐ŸŽผ๐ŸŽต๐ŸŽถ

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow Tanganyika,

Katika wimbo huu Kuna mashairi yasemayo,

"Alipoturejesha tulikuwa waota ndoto, hatukuamini macho yetu*2๐ŸŽถ

"Sio free mason, ni Mungu anetenda"*3๐ŸŽถ

Sio mazingaombwe, ni Yesu amefanya"*5๐ŸŽถ

Ameteeeenda Bwanaaa anetendaaaaaa*6๐ŸŽถ

Siamini, siamini ,Leo amenikumbukaaaaaa*4๐ŸŽถ๐ŸŽต

Tulilia sana, tuliitwa maskini, ombaomba, lakini Leo......!!๐ŸŽต

Ameteeenda, ameteeenda*4

Mbooona kama naotaaaa*4๐ŸŽถ๐ŸŽต

Tuungane na mvua inayonyesha Dar kumshukuru Mungu juu ya ushindi wa TUNDU Lissu.

Ubarikiwe TUNDU Lissu,

MUNGU ibariki CHADEMA,

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Karibuni๐Ÿ™
 
Naomba niulize, Nini kitabadilika?
 
Hili lilishatokea.
Huu mlipuko wa furaha, ni kwa sababu nini kinategemewa kutokea?
Tunategemea serikali kuwa active na kusikiliza wananchi wake sana, kwasababu watu wakusema bila kuogopa kutekwa wameshika uongozi wa juu
 
Nchi imechangamka
 
Mlipuko ni kwa kilichotokea, siyo kitakachotokea
TAL kushinda watu wengi tulitamani sasa naona kama furaha imekuwa kubwa mno isije ikawa kuna muujiza fulani hivi unategemewa nisioujua ndo maana na mimi nauliza.
 
Tunategemea serikali kuwa active na kusikiliza wananchi wake sana, kwasababu watu wakusema bila kuogopa kutekwa wameshika uongozi wa juu
Siasa ndo zitakuwa active, Labda kama akisema tokeni barabarani iwe hivyo kweli, ila kama suala ni mtu mmoja TAL kuongea tu, hapo ni siasa ndo zitachangamka.
 
Siasa ndo zitakuwa active, Labda kama akisema tokeni barabarani iwe hivyo kweli, ila kama suala ni mtu mmoja TAL kuongea tu, hapo ni siasa ndo zitachangamka.
Yeye mwenyewe ni muhanga wa kupigwa risasi nyingi, kwahiyo akisema jambo hakuna mwenye mashaka nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ