- Thread starter
- #21
Kabla ya kujibu swali lako,Naomba niulize, Nini kitabadilika?
Naomba utuwekee wimbo huo wa Bela Kombo tuburudike NAFSI zetu Kisha nikujibu🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kujibu swali lako,Naomba niulize, Nini kitabadilika?
Hapo Nyerere umemweka Wala hatumo.Lisu siku akiacha kufurahia kifo cha Dkt Magufuli na Mwl Nyerere atakuwa binaadamu.
NilishajibiwaKabla ya kujibu swali lako,
Naomba utuwekee wimbo huo wa Bela Kombo tuburudike NAFSI zetu Kisha nikujibu🙏
Na afurahie na kushangilia nakutoa sadaka iliyo safi kwakua hata huyo mr ston alitaman Tundulisu afe kwahyo hakuna thambi hapo hata daud alipomuuwa goliat hakua na thambiLisu siku akiacha kufurahia kifo cha Dkt Magufuli na Mwl Nyerere atakuwa binaadamu.
Na mvua imenyesha January hii kiashiria baraka.Nchi imechangamka
Kwa kuwa ameyakubali mema na uzalendo wa Magufuli,Lisu siku akiacha kufurahia kifo cha Dkt Magufuli na Mwl Nyerere atakuwa binaadamu.