Kwa hili: Nawapongeza mashabiki wa simba na walinzi wa uwanja wa Taifa kwa ubaya ubwela waliowafanyia waarabu leo

Refa kazingua kinoma,alitakiwa atandikwe sana,haiwezekani zimeongezwa dakika 7,akaacha hadi dakika ya 9 na masekunde ili goli Lilongwe.Kazingua sana.
 

Attachments

  • a80b55ab-5d57-488b-8f8f-338755265c29.jpeg
    68.8 KB · Views: 2
Refa ametokea nchi gani wasije wakamfuata nchini kwake maana akili zao wanazijua wenyewe
 
Video tumeziona na waliokuwa wanang'oa viti tumewaona.
 
Wapongezwe na watafutiwe uwanja usio wa walipa Kodi, Mechi za shirikisho zisi liingize Taifa kwenye hasara na makosa ya kukosa ustaarabu michezoni.
Ao Simba ni Wazoefu wa mambo dhalili kule South tuliona walichofanya, apa kwetu wameshakua Wazoefu wa kuharibu miundo mbinu.
Timu nyingi zilisha ilalamikia Simba kule CAF kwa mambo ya hovyo.
 
Ni kweli mlihusika kung'oa viti kama baadhi ya wajumbe walivyochangia mawazo yao hapo juu? Maana hamna historia nzuri na huo uwanja wa Taifa. Mlishawahi kufanya hilo tukio hapo kabla. Binafsi sikuangalia hiyo mechi yenu!
Subiri matamko kikubwa sisi tushachukua point...tunaendelea na shughuli zetu mr Tate Mkuu
 
Mtasubiri sana
 
Safi sana siku nyingine wakija watakuwa na adabu
 
Refa kazingua kinoma,alitakiwa atandikwe sana,haiwezekani zimeongezwa dakika 7,akaacha hadi dakika ya 9 na masekunde ili goli Lilongwe.Kazingua sana.
Kasome LAW OF GAME sheria namba 7
Bila umeanza jana kuangalia mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…