Mwigulu kataja masuala mawili.Umemwelewa nini ? Mwigulu ametumia mifano ambayo inatoa huruma kwa serikali huku akijua alichokisema Mpina ndicho kinaleta mfumuko wa bei. Nilitegemea aeleze ni namna gani atapunguza mgumuko wa bei.
Madarasa 8000 ni Bei gani?Mwigulu kataja masuala mawili.
1. Matumizi nje ya bajeti ambalo ndilo kuu
2. Mfumuko wa bei nchini.
Mpina amedai matumizi ya pesa nje ya bajeti yamesababisha mfumuko wa bei nchini.
Sasa bunge na sisi makabwela tumeulizwa je, ujenzi wa madarasa 8000 umesababisha mfumuko wa bei?
Pili kuwalipia ada vijana wetu chuo kikuu(mkopo) kunaweza kusababisha mfumuko wa bei nchini?
Hayo mawili ndiyo aliyokiri kuwa serikali ilifanya matumizi nje ya bajeti lakini Kwa agizo la Bunge.
Mjadala uko wazi tuendelee kujadili.
Mabati, saruji, nondo, tiles, madirisha ya vioo yanahitaji kwa pamoja kila kijiji kina madarasa sio chini ya 4 yanayojengwa na viwanda ni vile vile na uzalishaji ni ule ule oda zinakuwa nyingi uzalishaji uko chini nini kitafuata ndio saruji kuuzwa 22,000 huko mikoani hapo mfumko wa bei haujaongezeka? msikilize kwa makini mpina usimchukie kwa sura yake angalia hoja yakeSasa bunge na sisi makabwela tumeulizwa je, ujenzi wa madarasa 8000 umesababisha mfumuko wa bei?
Amekwepa hoja. Alichokisema Mpina hajakikanusha wala kukijibu.Mwigulu kataja masuala mawili.
1. Matumizi nje ya bajeti ambalo ndilo kuu
2. Mfumuko wa bei nchini.
Mpina amedai matumizi ya pesa nje ya bajeti yamesababisha mfumuko wa bei nchini.
Sasa bunge na sisi makabwela tumeulizwa je, ujenzi wa madarasa 8000 umesababisha mfumuko wa bei?
Pili kuwalipia ada vijana wetu chuo kikuu(mkopo) kunaweza kusababisha mfumuko wa bei nchini?
Hayo mawili ndiyo aliyokiri kuwa serikali ilifanya matumizi nje ya bajeti lakini Kwa agizo la Bunge.
Mjadala uko wazi tuendelee kujadili.
Mkuu asante kwa ufafanuziMwigulu kataja masuala mawili.
1. Matumizi nje ya bajeti ambalo ndilo kuu
2. Mfumuko wa bei nchini.
Mpina amedai matumizi ya pesa nje ya bajeti yamesababisha mfumuko wa bei nchini.
Sasa bunge na sisi makabwela tumeulizwa je, ujenzi wa madarasa 8000 umesababisha mfumuko wa bei?
Pili kuwalipia ada vijana wetu chuo kikuu(mkopo) kunaweza kusababisha mfumuko wa bei nchini?
Hayo mawili ndiyo aliyokiri kuwa serikali ilifanya matumizi nje ya bajeti lakini Kwa agizo la Bunge.
Mjadala uko wazi tuendelee kujadili.
Kinachozungumziwa ni Fedha siyo Chanzo cha FedhaKumbe madarasa hayakujengwa na hela za uviko 19? Naomba kueleweshwa
Uviko 2021/2022 na hayo 8000 ni 2022/2023. Nadhani wapendwa watanisahihihishaKumbe madarasa hayakujengwa na hela za uviko 19? Naomba kueleweshwa
Kinachozungumziwa ni Fedha siyo Chanzo cha Fed
Muogepni Mungu kams mntatubbuKinachozungumziwa ni Fedha siyo Chanzo cha Fedha
huku Watoi na walalahoi tunatesekaMuogepni Mungu kams mntatubbu
Tunataka tumeteseka na tunatekahuku Watoi na walalahoi tunateseka
Lakini sawaTunataka tumeteseka na tunateka
Je za UVIKO si walisema zilijenga madarasa! Duuh! Kweli usanii mwingine.Madarasa 8000 ni Bei gani?