GE2025 Kwa hili Nyomi la CHAUMMA ,Bonnah Kalua Atang'olewa Segera na Devotha Minja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
My Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam kuongea na Wanachama Wanawake katika kikao cha ndani lakini kutokana na kuwa wengi wamefanyia Mkutano huo uwanjani.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

kwa tume ipi?
naona wanatumia vizuri pesa za mfadhili wao CCM
 
My Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam kuongea na Wanachama Wanawake katika kikao cha ndani lakini kutokana na kuwa wengi wamefanyia Mkutano huo uwanjani.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Matumizi haya mabovu ya pesa za wananchi maskini alafu kesho unaenda kukopa!
Deni linakuwa kubwa unawaongezea kodi na tozo, then rasilimali za nchi zinatolewa bwerere kufidia madeni!

Hivi ndio vitu vinafanya watu wengi wanaojielewa kuwaheshimu CHADEMA.

Project imemwagiwa pesa kwa maslahi ya Wahuni.
 
Kama mtanzania hujajenga mwaka huu hujengi tena.
 
Matumizi haya mabovu ya pesa za wananchi maskini alafu kesho unaenda kukopa!
Deni linakuwa kubwa unawaongezea kodi na tozo, then rasilimali za nchi zinatolewa bwerere kufidia madeni!

Hivi ndio vitu vinafanya watu wengi wanaojielewa kuwaheshimu CHADEMA.

Project imemwagiwa pesa kwa maslahi ya Wahuni.
CHAUMA wanatumia pes za Wananchi wapi?
 
Matumizi haya mabovu ya pesa za wananchi maskini alafu kesho unaenda kukopa!
Deni linakuwa kubwa unawaongezea kodi na tozo, then rasilimali za nchi zinatolewa bwerere kufidia madeni!

Hivi ndio vitu vinafanya watu wengi wanaojielewa kuwaheshimu CHADEMA.

Project imemwagiwa pesa kwa maslahi ya Wahuni.
Ila ingekua CHADEMA hapo ungesema ipo mioyoni mwao.. achana na siasa za hivyo ndugu
 
Wanataka Kumtoa Jimboni Mke Wa Waziri Wa Sukari
 
My Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam kuongea na Wanachama Wanawake katika kikao cha ndani lakini kutokana na kuwa wengi wamefanyia Mkutano huo uwanjani.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hapo na Tisheti wamevalishwa na yuvisisiemu siasa za mwaka 47
 
Back
Top Bottom