ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #41
Wahuni ndio safi sana kuliko hao matapeli wenu kina PLPLHii akili fyatu ndo mana wahuni wanaosemwa na polepole wanaendelea kujiachia
Wahuni ndio safi sana kuliko hao matapeli wenu kina PLPLHii akili fyatu ndo mana wahuni wanaosemwa na polepole wanaendelea kujiachia
Povu lote shida ni gani?Tunajua wewe na Devota mume wenu ni mmoja maana nyinyi ni Bibi mkubwa na Bibi mdogo
Na hata kama mnapendana sana kwa kushare mume mmoja hayo mahaba yako dada yamepitiliza maana kulikuwa hakuna umuhimu wa kutuletea mapicha ya kutengeneza ya Artificial Intelligence (AI)
Wapinzani wanaokimbia uchaguzi hao ni matapeli tuuZote hizo ni vurugu za CCM, Chama cha upinzani ni CHADEMA tu
Linaendelea ZenjBADO mpina NAE NATAKA nione jam lake mikoani tupime upepo.Shikamoooooooooooooooooooooo CHAUMA heshima yenu nawapa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwishaaaaaa
CHAUMA ni ChaumaHawo ni CCM
Siku zote Huwa wanashinda Kwa Tume ipi?Kwa tume ipi sasa? Acha kujizima data
Huwa wanashinda lakini hawatangazwi, na ikitokea wakatangazwa wengi hubaki na vilema vya maisha, au hata kupoteza maisha. Hivyo NRNE.Miaka yote Wapinzani Huwa wanashinda Kwa Tume ipi?
Kama nani aliyeshinda hakutangazwa? Aida alitangazwa nani?Huwa wanashinda lakini hawatangazwi, na ikitokea wakatangazwa wengi hubaki na vilema vya maisha, au hata kupoteza maisha. Hivyo NRNE.
Kwa taarifa yako ni wengi walishinda na hawakutangazwa, na watu wakapigwa na wengine kubambikiwa kesi. Walikuja kuachiwa kipindi mama Samia kaingia na utapeli wa maridhiano. Hiyo kutangazwa mmoja ilikuwa kuhalalisha kuwa wengine walishindwa.Kama nani aliyeshinda hakutangazwa? Aida alitangazwa nani?
Fix ,wengi kina nani ?Kwa taarifa yako ni wengi walishinda na hawakutangazwa, na watu wakapigwa na wengine kubambikiwa kesi. Walikuja kuachiwa kipindi mama Samia kaingia na utapeli wa maridhiano. Hiyo kutangazwa mmoja ilikuwa kuhalalisha kuwa wengine walishindwa.
Angalia vizuri hii niya kutengenezaHaters watakuambia ni ya kutengeneza
NILIPITA MAENEO HAYO....Hii ni video ya kuengenezwaWahuni ndio safi sana kuliko hao matapeli wenu kina PLPL
Hii picha usipokuwa makini unaweza kuamini ina uhalisiaMy Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam kuongea na Wanachama Wanawake katika kikao cha ndani lakini kutokana na kuwa wengi wamefanyia Mkutano huo uwanjani.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huko ZENJI ni NGUMU SANA kumsaliti SAMIALinaendelea Zenj
Hakuna shida, ila upunguze Mahaba dadaPovu lote shida ni gani?
Hahahahahaha me nilibaki nimevurugwa nikaona labda chaumma unagombea vyote kwa pamoja, urais mwenza na ubunge.Kwa hiyo mkuu mgombea mwenza wa urais wa Tanzania atawezaje kumng'oa Kalua ambae anagombea ubunge Segerea?
Mgombea urais mwenza anafikiriwa kumng'oa mgombea ubunge?My Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam kuongea na Wanachama Wanawake katika kikao cha ndani lakini kutokana na kuwa wengi wamefanyia Mkutano huo uwanjani.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hata huku Bara wasaliti Mko wachache.Maelfu ya watu waliopata kazi awamu ya mama hawawezi msaliti.Huko ZENJI ni NGUMU SANA kumsaliti SAMIA
Kwishaaaa
Mkuu MBONA mi sijasema kama nasapoti siasa au kutomsapoti SAMIA kiujumla? Mi na siasa ni maji na mafuta mkuuHata huku Bara wasaliti Mko wachache.Maelfu ya watu waliopata kazi awamu ya mama hawawezi msaliti.
Maelfu ya walioongezewa salary hawawezi msaliti.
Wasaliti watakuwa wachache sana ambao mtaaibika mwisho wa siku.