GE2025 Kwa hili Nyomi la CHAUMMA ,Bonnah Kalua Atang'olewa Segera na Devotha Minja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
NO REFORM NO ELECTION
 
Zote hizo ni vurugu za CCM, Chama cha upinzani ni CHADEMA tu
 
Kwa tume ipi sasa? Acha kujizima data
 
BADO mpina NAE NATAKA nione jam lake mikoani tupime upepo.Shikamoooooooooooooooooooooo CHAUMA heshima yenu nawapa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿




Kwishaaaaaa
 
Ha ha ha,, mwezi wa kumi sio mbali. Chama cha miezi miwili hiki.
Ukisikiliza vizuri hiyo video kauli mbiu yao wanavyosema na jinsi wanavyoitikia ni dalili tosha wameokoteza watu na kuwavalisha fulana na kuwalipa kuja kujaza uwanja maana mtoa kauli mbiu hadi anarudia na kujijibu.
 
Tunajua wewe na Devota mume wenu ni mmoja maana nyinyi ni Bibi mkubwa na Bibi mdogo

Na hata kama mnapendana sana kwa kushare mume mmoja hayo mahaba yako dada yamepitiliza maana kulikuwa hakuna umuhimu wa kutuletea mapicha ya kutengeneza ya Artificial Intelligence (AI)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…