GE2025 Kwa hili Nyomi la CHAUMMA ,Bonnah Kalua Atang'olewa Segera na Devotha Minja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Povu lote shida ni gani?
 
Linaendelea Zenj
 
Huwa wanashinda lakini hawatangazwi, na ikitokea wakatangazwa wengi hubaki na vilema vya maisha, au hata kupoteza maisha. Hivyo NRNE.
Kama nani aliyeshinda hakutangazwa? Aida alitangazwa nani?
 
Kama nani aliyeshinda hakutangazwa? Aida alitangazwa nani?
Kwa taarifa yako ni wengi walishinda na hawakutangazwa, na watu wakapigwa na wengine kubambikiwa kesi. Walikuja kuachiwa kipindi mama Samia kaingia na utapeli wa maridhiano. Hiyo kutangazwa mmoja ilikuwa kuhalalisha kuwa wengine walishindwa.
 
Fix ,wengi kina nani ?
 
Hii picha usipokuwa makini unaweza kuamini ina uhalisia
 
Kwa hiyo mkuu mgombea mwenza wa urais wa Tanzania atawezaje kumng'oa Kalua ambae anagombea ubunge Segerea?
Hahahahahaha me nilibaki nimevurugwa nikaona labda chaumma unagombea vyote kwa pamoja, urais mwenza na ubunge.
Hahahahahaha siasa majitaka hizi!!
 
Mgombea urais mwenza anafikiriwa kumng'oa mgombea ubunge?
Usikute aliyepost hii alikuwa hajui anataka kupost nini daah njaa hizi!!
 
Huko ZENJI ni NGUMU SANA kumsaliti SAMIA

Kwishaaaa
Hata huku Bara wasaliti Mko wachache.Maelfu ya watu waliopata kazi awamu ya mama hawawezi msaliti.

Maelfu ya walioongezewa salary hawawezi msaliti.

Wasaliti watakuwa wachache sana ambao mtaaibika mwisho wa siku.
 
Mkuu MBONA mi sijasema kama nasapoti siasa au kutomsapoti SAMIA kiujumla? Mi na siasa ni maji na mafuta mkuu

Kwishaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…