My Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam kuongea na Wanachama Wanawake katika kikao cha ndani lakini kutokana na kuwa wengi wamefanyia Mkutano huo uwanjani.