Mmh..upuuzi tu!Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani.
Yeyote atakayekuja atapigwa Khamsa.Kwa kuzifunga JKT, Assas, na KMC?
Hakika! Tutabeba kuanzia Ngao ya Jamii hadi ubingwa wa CAF CLKwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani.
Kolo kwenye nbc tunampa kifurushi cha wiki ili wafukuzane vizuriMmh..upuuzi tu!
Nyie jidanganyeni na hilo lingao la jamii. Sisi tuliwaachia kwa kuwa halina faidaHakika! Tutabeba kuanzia Ngao ya Jamii hadi ubingwa wa CAF CL
Kwa pira GamondiKwa kuzifunga JKT, Assas, na KMC?
Nimewaona Jamaa wa kolo hapa mlingotini, sijui wamekuja kuongezea juju magic. Msimu huu miti yote kwa kolo itatelezaKwa pira Gamondi
Na walipocheza na timu zoefu ya hayo mashindano wakafunga mabao mawili ya offside kisha wakadondosha mojawapo ya vikombe vyao vya msimu uliopita.Mapema kabisa asubuhi.Hakuna timu ya maana mliyoifunga zote ni vilaza.Ni timu ya kawaida ambayo hata makundi CAF haingii
UsijifarijiNyie jidanganyeni na hilo lingao la jamii. Sisi tuliwaachia kwa kuwa halina faida
Amka utajikojoleaKwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani.
Na kwa anayenunua magoli, mwambieni mwaka huu ajipange. Maana kuna uwezekano hazina yeke ya Tsh ikakauka... akashindwa hata kulipa wafanyakazi wake mishahara yao.
PS: Na nyie robo robo fc, kwa pira lenu hili la patua patua, mtafia Ndola. Mkija NBC league tunapiga 5-0 kwenye mshono. Msimu huu Mtajua hamjua