Kwa hili pira Gamondi, hakuna shaka kwa Yanga kubeba ndoo ya CAF CL msimu huu

Duh! Aiseee....
Hivi akili mnapelekaga wapi nyie¿¡....
 
Usije pia kuwa wa kwanza kumzomea AKISHATOLEWA
 
JINGA LAO.
Mwanangu eee, acha utani. Uliona jinsi kipa wa JKT alivyoteseka juzi.
Taarifa fiche ni kwamba siku ile ile aliandika barua ya kiujuzulu....
yaaani kaamua ukipa basi, bora akawe bodaboda
 
WENYE AKILI NI WAWILI TU.

MATAHIRA KIBAO
Yanga ya yule mhehe ndiyo ilijaa matahira, lakini ya sasa ni mainjinia tupu. Ni balaaa.
Kwenye NBC lengo ni kumpiga kolo dabo digits.
 
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…