Kwa hili suala la Kipa wa Simba, Mohamed Dewji ndio kashiriki kututapeli hela za Usajili za CAF

Kwa hili suala la Kipa wa Simba, Mohamed Dewji ndio kashiriki kututapeli hela za Usajili za CAF

Kuna swali Kama Kuna anajua jibu lake naomba anifahamishe, mo anatangaza pesa anazotumia kununua wachezaji, mbona wachezaji wakiuzwa taarifa zao haziwekwi wazi? Bwalya, Pape Sakho taarifa zao za mauzo zinafichwa kwa faida ya Nani?
Akuwekee wazi wewe kama nani? Je wewe ni mwanahisa? Kama ndio, hisa zako ni kiasi gani?
 
Mo ndio chanzo Cha kuleta Golikipa mbovu Simba.

Nilimsia Mo akihitaji Golikipa wa kigeni mzungu au Mwarabu

Jefferson Luis.
Luiz Santos

Wakaangukia kwa Mwarabu AYOUB Lakred.

Akawaacha Magolikipa wenye UWEZO Mkubwa.

Simon Loti (Cameroon)
John Noble.(Nigeria)
Akaenda kitayose.

Mo Huwa Kuna Maamuzi ya Ajabu Huwa anayafanya Hadi UNAJIULIZA Huyu mtu ni mzima kweli!!!!!!!!!!?
Ukijitazama wewe na ukoo wako,ukamtazama na MO nafikili utaelewa kuwa wewe sio tu kwamba sio mzima bali ni mfu unaetembea, yeye hata jina hakujui ila wewe jina lake halikauki mdomoni mwake!! Hujioni kuwa wewe ni karikiti kichwani.
 
Ntawarejesha baadae kidogo jinsi mo alivyoshiriki kutudanganya juu ya bilion 5 za usajili na babra Alivyoamua kumchamba live.

Turudi kwa kipa. Kipa yule Hajui lolote kuhusu kudaka mpira kwenye mechi. Ata watoto wadogo tunawafundisha kudaka hawafanyi makosa Kama Yale mfano.

1. Kipa alikuwa hatokei kabisa mipira. Unapigwa close, Kona na kila kitu kipa anabaki golini.

2. Hajui kudaka, kupanga beki Wala kuangalia mpira.

3. Kinachouma eti ndio kanunuliwa bilion 3 za Mo. Je wajua.

(a). Hiyo Ni sawa na fedha zote alizotumia timu ya Yanga msimu mzima uliopita kumotisha wachezaji na kupata matokeo makubwa.

(b) Hiyo bilion 3 Ni sawa na fedha inazotumia Yanga kulipa mishahara wachezaji msimu huu mzima.(kikosi Bora msimu huu).

Kweli mo anaitaka timu. Kwanini kila mwaka mnatafuta mzungu moja wa kuitafuna Simba wakati toka mwaka Jana wachezaji wanadai fedha zao za bonasi za ushindi wa Yanga na Wydad bongo.

Kipa nasikia kocha hamtaki, kochaa wa makipa hamuelewi lkn Mo na genge lake wamelazimisha apangwe.

Ifikie mahala Sasa usajili na fedha zote za usajili kwa kila mchezaji na aliyemleta ajulikane.

Pale hatukutafuta kipa pale. Tulitafuta mzungu. Lilikuwa na kipa vipers mzuri kabisa m100 tu.

Mo Kama anahela kwenye usajili kwa ela zake akasajili mwenyewe na watu wake.

Mwaka huu nasikia motisha za ushindi hamtoi kabisa. Timu inacheza ovyo ovyo tu
acha ujinga na upumbavu,unamjua huyo kipa?
 
Wewe mishahara yote ya Yanga unaijuaje?

Unajifanya mchambuzi Ila hakuna kitu. Kwa taarifa yako ulipoteza credibility yako uliposhupaliaga swala la Fei Toto kwa kutanguliza usimba mbele badala ya sheria za mikataba
 
Kuna swali Kama Kuna anajua jibu lake naomba anifahamishe, mo anatangaza pesa anazotumia kununua wachezaji, mbona wachezaji wakiuzwa taarifa zao haziwekwi wazi? Bwalya, Pape Sakho taarifa zao za mauzo zinafichwa kwa faida ya Nani?
Utasomewa kwenye mkutano mkuu
 
Ni lini hisa za Simba zilianza kuuzwa? zipo soko gani?
Kama hazijaanza kuuzwa maana yake haumiliki chochote na hivyo huna maamuzi juu ya kocha au mchezaji yeyote. Hivyo kaa kimya. Klabu haiendeshwi kwa kelele za ushabiki maandazi.
 
Kama hazijaanza kuuzwa maana yake haumiliki chochote na hivyo huna maamuzi juu ya kocha au mchezaji yeyote. Hivyo kaa kimya. Klabu haiendeshwi kwa kelele za ushabiki maandazi.
Simba ni club ya wanachama wana haki ya kuhoji
 
Punguza ujinga kidogo mkuu
Kukuzidi wewe mkuu? Tunataka wapiga kelele zisizo na faida kama wewe waziache timu zetu. Watu wanatoa fedha zao kuwekeza halafu wajinga wajinga kama wewe mnaleta kelele. Kama vipi anzisheni timu zenu msajili makocha na wachezaji mnaowataka. Ndio maana mliitwa wala mihogo na kiongozi fulani hivi. Alipatia sana.
 
Mo ndio chanzo Cha kuleta Golikipa mbovu Simba.

Nilimsia Mo akihitaji Golikipa wa kigeni mzungu au Mwarabu

Jefferson Luis.
Luiz Santos

Wakaangukia kwa Mwarabu AYOUB Lakred.

Akawaacha Magolikipa wenye UWEZO Mkubwa.

Simon Loti (Cameroon)
John Noble.(Nigeria)
Akaenda kitayose.

Mo Huwa Kuna Maamuzi ya Ajabu Huwa anayafanya Hadi UNAJIULIZA Huyu mtu ni mzima kweli!!!!!!!!!!?
Anachotaka kuonesha anatumia kwa gharama kubwa. Timu Haina uwanja, wachezaji hawamotisi
 
Kukuzidi wewe mkuu? Tunataka wapiga kelele zisizo na faida kama wewe waziache timu zetu. Watu wanatoa fedha zao kuwekeza halafu wajinga wajinga kama wewe mnaleta kelele. Kama vipi anzisheni timu zenu msajili makocha na wachezaji mnaowataka. Ndio maana mliitwa wala mihogo na kiongozi fulani hivi. Alipatia sana.
Yeye ndio aka anzishe timu yake kwani African Lyon na Singida si zilikua zake kwanini alitelekeza?
 
MO yupo sahihi kipindi cha nyuma alikua akitoa fedha za usajili mnaletea wakina Duncun Nyoni na wengine wa jamii ya kina Sawadogo mna mpiga ela.
Inawezekana kaamua kumleta uyo mwarabu kwa kutumia fedha mlizopewa na Caf kwa maandalizi ya super league ili na yeye afukie mashimo mliyo mpiga kipindi cha nyuma.
Huwezi mfanyabiashara mkubwa ukaicha fedha nyingi kamaiyo kwa mkupuo inapita mbeleyako kifala.

Yeye kapiga mshindo mmoja tu nyie mnalia wakati mshatafuna sana fedha zake.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Du! Inawezekana mana wanasema pesa haitoshi, na kibongo bongo inawezekama kweli Mo kapiga hela kupitia huyo mwarabu sijui mzungu, mana angesema asajili kipa mweusi watu wangehoji bei yake, ila kwa kuwa ni mweupe anajengea hoja hapo hapo kwamba bei yake ni juu!
 
Back
Top Bottom