Kwa hili suala la Kipa wa Simba, Mohamed Dewji ndio kashiriki kututapeli hela za Usajili za CAF

Kuna swali Kama Kuna anajua jibu lake naomba anifahamishe, mo anatangaza pesa anazotumia kununua wachezaji, mbona wachezaji wakiuzwa taarifa zao haziwekwi wazi? Bwalya, Pape Sakho taarifa zao za mauzo zinafichwa kwa faida ya Nani?
Akuwekee wazi wewe kama nani? Je wewe ni mwanahisa? Kama ndio, hisa zako ni kiasi gani?
 
Ukijitazama wewe na ukoo wako,ukamtazama na MO nafikili utaelewa kuwa wewe sio tu kwamba sio mzima bali ni mfu unaetembea, yeye hata jina hakujui ila wewe jina lake halikauki mdomoni mwake!! Hujioni kuwa wewe ni karikiti kichwani.
 
acha ujinga na upumbavu,unamjua huyo kipa?
 
Wewe mishahara yote ya Yanga unaijuaje?

Unajifanya mchambuzi Ila hakuna kitu. Kwa taarifa yako ulipoteza credibility yako uliposhupaliaga swala la Fei Toto kwa kutanguliza usimba mbele badala ya sheria za mikataba
 
Kuna swali Kama Kuna anajua jibu lake naomba anifahamishe, mo anatangaza pesa anazotumia kununua wachezaji, mbona wachezaji wakiuzwa taarifa zao haziwekwi wazi? Bwalya, Pape Sakho taarifa zao za mauzo zinafichwa kwa faida ya Nani?
Utasomewa kwenye mkutano mkuu
 
Ni lini hisa za Simba zilianza kuuzwa? zipo soko gani?
Kama hazijaanza kuuzwa maana yake haumiliki chochote na hivyo huna maamuzi juu ya kocha au mchezaji yeyote. Hivyo kaa kimya. Klabu haiendeshwi kwa kelele za ushabiki maandazi.
 
Kama hazijaanza kuuzwa maana yake haumiliki chochote na hivyo huna maamuzi juu ya kocha au mchezaji yeyote. Hivyo kaa kimya. Klabu haiendeshwi kwa kelele za ushabiki maandazi.
Simba ni club ya wanachama wana haki ya kuhoji
 
Punguza ujinga kidogo mkuu
Kukuzidi wewe mkuu? Tunataka wapiga kelele zisizo na faida kama wewe waziache timu zetu. Watu wanatoa fedha zao kuwekeza halafu wajinga wajinga kama wewe mnaleta kelele. Kama vipi anzisheni timu zenu msajili makocha na wachezaji mnaowataka. Ndio maana mliitwa wala mihogo na kiongozi fulani hivi. Alipatia sana.
 
Anachotaka kuonesha anatumia kwa gharama kubwa. Timu Haina uwanja, wachezaji hawamotisi
 
Yeye ndio aka anzishe timu yake kwani African Lyon na Singida si zilikua zake kwanini alitelekeza?
 
Du! Inawezekana mana wanasema pesa haitoshi, na kibongo bongo inawezekama kweli Mo kapiga hela kupitia huyo mwarabu sijui mzungu, mana angesema asajili kipa mweusi watu wangehoji bei yake, ila kwa kuwa ni mweupe anajengea hoja hapo hapo kwamba bei yake ni juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…