Kwa hili suala la Kipa wa Simba, Mohamed Dewji ndio kashiriki kututapeli hela za Usajili za CAF

Kwa hili suala la Kipa wa Simba, Mohamed Dewji ndio kashiriki kututapeli hela za Usajili za CAF

Mo ndio kamleta yule CEO wa kike ndio kamleta huyo kaangalia ngozi still ana dharau sana yaani utakuta huyo kipa analipwa pesa kibao ...Mtakuja kumuelewa Manara kukataq kulipwa laki 7 huko kidemu kile hakina jipya kinalipwa mamillion ...
Babra hayupo Simba toka mda tyuuh, sasa lawama mnampajee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kukuzidi wewe mkuu? Tunataka wapiga kelele zisizo na faida kama wewe waziache timu zetu. Watu wanatoa fedha zao kuwekeza halafu wajinga wajinga kama wewe mnaleta kelele. Kama vipi anzisheni timu zenu msajili makocha na wachezaji mnaowataka. Ndio maana mliitwa wala mihogo na kiongozi fulani hivi. Alipatia sana.
Na ni Rais wao wa heshima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom