Hawa mamluki wamepewa shilingi ngapi uuza Utanzania wao, Umoja wao?????
Hivi tunaweza kujua huyu jamaa kazaliwa wapi pengine ndiyo kwanza anajua siasa ni nini!!!
CCM Unakumbuka enzi za "Kidumu Chama Cha Mapinduzi?"
Si nyie-nyie mulikuwa munakunja ngumi hadi munajamba?
Pia walikuwa wakisema huku mikono iko juu CCM JUU, JUU ZAIDI?????
Hatudanganyiki, ushindi uko pale pale!!!
Ila ole wako siku watoto wako wakikuuliza hivi baba/mama huu umaskini katuletea nani???? sijui jibu lako litakuwa lipi!!!
Chadema mwendo mdundo....