Fungu la kukosa
Member
- Jun 16, 2009
- 64
- 0
Hivi wewe ni bingwa wa hoja au bingwa wa umbumbumbu? Maana unachokisema wala hakieleweki.Yaelekea upeo wa elimu yako ni nusu ya darasa la pili kama si elimu ya ngumbalu. Jamii forum ni mahala pa kuelimishana na si pa kupiga porojo. Nakushauri utafute blog nyingine inayoruhusu watu kupoteza muda badala ya kwenda na wakati as Political slogan has nothing to do with reality.CCM NI CHAMA NAMBARI ONE KWA VURUGU HAPO BONGO. Mmeuwa watu kule Zanzibar mwaka 1995 ,2000, na hata 2005. Je huo si ushahidi tosha wa kuvuruga amani na utulivu? Waache wana chadema wapete usiwaonee gere bure.