Kwa hili tatizo la umeme Mama hasikii kilio cha wanaye

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Umeme umekuwa shida kuu hapa nchini, kila kona ni vilio kutokana na uhaba wa umeme.

Mama hasikii kilio cha wanae, tumekuwa watoto yatima ingawa tunaye mzazi.

Nani atakuja kusikia kilio cha watanzania kutokana na uhaba wa umeme?
 
..bila kusahau ukosefu wa SUKARI,maji,usafiri mbovu wa DART,tren ya G/mboto na Kivuko cha Ferri...
Kazi kwelikweli!!
 
Kilio anakisikia sana lkn uwezo wake wa kutoa msaada umeishia hapo!

Mgao Gani wa umeme mwaka mzima bana....????
 
Umeme umekuwa shida kuu hapa nchini, kila kona ni vilio kutokana na uhaba wa umeme.

Mama hasikii kilio cha wanae, tumekuwa watoto yatima ingawa tunaye mzazi.

Nani atakuja kusikia kilio cha watanzania kutokana na uhaba wa umeme?
Kaambiwa umeme upo ni kelele za wapinzani tuu
 
Kwani unadhani kile alichoongea yule naibu waziri na yule kimbao mbao "supika" waliyatoa wapi 🤔
 
..bila kusahau ukosefu wa SUKARI,maji,usafiri mbovu wa DART,tren ya G/mboto na Kivuko cha Ferri...
Kazi kwelikweli!!

Aidha tuamue sasa ama tusubiri 2025 lakini tusiendelee kulalamika! Hakuna kitakachobadilika
 
Wauza majenereta wana nguvu kuliko serikali ya mama.
 
Huu mgawo wa umeme ni wa kudumu
Mpaka hao mabwenyenye wenyewe waseme basi inatosha na kupiga hela
Sema uchaguz ukikaribia mtalegezewa kidogo,uchaguzi ukipita
Mkongoto kama kawaida kwa wjng utaendelea

Ova
 
Usingefungua thread ungekuwa salama zaidi 😁😁😁
Hatari sana mkuu nchini inaanguka hii maana umeme hakuna, dollar hakuna Sasa sijui kwanini anataka kugombea mwakani maana kashindwa kudeliver kabisa
 
mama anachakarika si mchezo ndugu yangu

itoshe kusema huyu mama ni kiongozi mchapa kazi haijawahi kutokea
 
Back
Top Bottom