Kwa hili tumwogope Mungu, tuvue Unafiki. Tumwombe Msamaha Magufuli

Wapinzani argument yao kuu JPM alificha takwimu lakini ukiwauliza JPM hayupo mbona hamtoi hizo takwimu za maelfu hao wanaokufa kwa corona kama kweli wanakufa hawana jibu.

Katika mikusanyiko yote hata maofisini watu hawanawi hata mikono achilia mbali kuvaa barakoa, na social distance. Nenda mikusanyiko yote kuanzia daladala, mpirani, masokoni, nyumba za ibada na arusini mbanano ni kama kawa bila hivyo vitu.

JPM alikuwa na atabakia shujaa katika hili la corona dunia nzima ( niliwahi kuandika hili katika uzi siku zilizopita)
 
Yaan Ni sawa na binadamu amuombe msamaha shetani,

Huyo mungu wenu wa chatttttle muombeni nyinyi msamaha
 
Uko sahihi...Magufuli was right....siyo kwa Corona tu Bali kwa Mambo mengi katika nchi hii....nawaambieni ipo siku pengine miaka kadhaa ijayo mnara mkubwa utajengwa kumuenzi huyu mtu aliyetangulia mbele ya haki...ipo awamu itamtangaza JPM kuwa shujaa wa Tanzania na mitazamo yake ndiyo itakuwa miongozo ya Tanzania hii ..
 
Kuteka,kuuwa wakosoaji na kununua wapinzan
 
Kiukweli ktk vitu amefanya vizur ni kwenye eneo hilo.Ilifikiahatua hupewi mait mpk utoe laki nane halafu maiti wetu unazika huku umevalishwa.manguo.ajabu ni kuwa mtu anakufa na korona na watu wanazika kawaida tu na hakuna chochote kinachotekea.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Alosema tumuombe Mungu yeye yuko wapi mbona corona ilimsepesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuachane na mask na Covid. Wewe Condom umetumia lini mara ya mwisho!?

Je unahisi UKIMWI upo au haupo!?
Corona ikimgusa siku moja tu hutamsikia akileta haya mapambio ya dikteta wake.
 
Ukweli ni kwamba Corona inaambukiza sana lakini kwa bahati nzuri kwako ni kwamba Corona inaangamiza watu wenye umri mkubwa na walio na magonjwa sugu, that's it !
 
Kwani kuna ambaye alisema kuwa Corona haipo? Au tulikataa kupandikizwa hofu na madawa ambayo hatuna uhakika nayo? Sasa maisha yameendeleaje?
Wewe si umesapoti corona ni illusion? Au hilo neno lina maana mpya siku hizi?
 
Ngonja awamu 4aingie kazini ndio utajua kama illusion
Ya tatu ulisema hivi hivi na comments zako za kutisha watu na maisha yanasonga bila madhala mnayotaman yanawakumba watanzania,

Achia kuongelea ya 4 ongelea variant ya 15
 
Ya tatu ulisema hivi hivi na comments zako za kutisha watu na maisha yanasonga bila madhala mnayotaman yanawakumba watanzania,

Achia kuongelea ya 4 ongelea variant ya 15
Chanjo umesha Dunga, au nawe unapanda humu na kujifariji hewa 🤔.
 
Katika Africa kitu ambacho kimesaidia kutokuwepo maafa makubwa ya vifo vya Corona ni Umri wa watu waliopo Africa , wengi wao ni vijana na wazee ni wachache sana, lakini hata hivyo hao wazee wachache wamekuwa wakiondoka kimya kimya, na kwa kuwa wao sio maarufu sana some people don't bother about it, that's it !
 
Kwa hili la kutumia mikopo kujenga miundombinu mabeneru wamepigwa .hapa nampa point chief Hangaya
 
Unapewa 1 Trilion ya corona, badala ya kununulia mitambo ya kuchimba na kuyeyushia madini ukauza na kurudisha hivyo vimikopo ndani ya mwaka tu, mkaendelea na maisha mkiwa na mitambo yenu, badala yake mnajengea madarasa na vyoo.

Tutabaki watumwa na wao wazungu ndo lengo lao[emoji35]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Unajua kama ipo omicron[emoji848].Bado ipo safarini haija tua nyumbani na yenyewe ni awamu 4.
Hiyo sisi team legacy tunaisubiri kwa hamu ili iondoke na fisadi la tozo na lile fisadi la msoga
 
Makini sana bro,natamani reply hii isomwe na viongozi karibu wote wenye mamlaka na maamuzi juu yetu,ni sindano ya ukweli haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…