Kwa hili, Waafrika ni wazembe na wachanga kiakili

Kwa hili, Waafrika ni wazembe na wachanga kiakili

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Katika kipindi hiki ambacho Dunia ipo katika changamoto na janga la Corona Kuna mengi nimejifunza kutoka mataifa yaliyo endelea ambayo yanatakiwa yawe funzo na amasa kwa mataifa ya Kifrica haswa kwa vijana ambao ndio nguvu kazi katika kulijenga Taifa

Serikali ya Marekani kwa sasa kwa asilimia kubwa inapata msaada wa fedha na vifaa Kama ventilators kutoka kwa vijana wao makini walio jibidiisha katika kusugua akili na kufanya kazi kwa bidii vijana kama Elon musk, Jeff Bezos na wengineo ambao wamegeuka kuwa baraka na msaada kwa Taifa lao

Wajinga wengi wanafikiri Marekani inavuma kwa nguvu ya Serikali yao lakini sio hivyo Marekani inavuma kwa mkusanyiko wa mambo mengi sana, biashara, michezo, na Teknolojia vitu hivi ndio vinavyo liinua Taifa lao

Na maliza kwa kunukuu kauli ya John Kennedy usiulize Marekani itakufanyia nini jiulize utaifanyia nini Marekani na hata hapa Kwetu tujiulize tutalifanyia nini Taifa letu, kazi ya Serikali ni kutengeneza miundombinu bora kuwezesha watu wapite kufikia malengo yao na sio kutafuta watu vijiweni kuwapa ajira
 
Utasikia vijana wa Kiafrika wanalaumu wazungu kwa uzembe wao wenyewe, stupid kabisa.
 
Unadhani hao uliowataja wamezaliwa tu wakawa na huo uwezo au WAMEWEZESHWA NA SERIKALI YAO?

"baba unahonga hawara elfu kumi, watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Br
Utasikia vijana wa kiafrika wanalaumu wazungu kwa uzembe wao wenyewe, stupid kabisa.
Brother huku Afrika kunahitajika ukombozi wa kifikra majority ya watu wengi iQ zipo chini sana, ukikaa na vijana wengi wa hapa Bongo unasikia mpaka kinyaa kusikiliza mazungumzo yao hawana madini ya maana wanawaza ujinga tu.
 
"Africa ni sehemu pekee ambapo matajiri wanakufa mapema" kuna uzi una kichwa cha habari kinafanania ni hicho, kutoka huko utapata ABC za kwa nini Africa ipo hivi ilivyo.
 
Back
Top Bottom